Machawa kuendelea kuomboleza

Machawa kuendelea kuomboleza

Ama kweli Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni NOOOMA. Yaani minyumbu ndo imekuwa mindondo kiasi hiki?!!!! Tena mingine mizee kabisa?!!!😳😳😳

Huyu mama hapana aisee!!
 

Attachments

  • 1000125788.jpg
    1000125788.jpg
    224 KB · Views: 4
  • IMG-20260911-WA0000.jpg
    IMG-20260911-WA0000.jpg
    143.1 KB · Views: 6
Hapana, ni kwa maujanja ya kuwahenyesha manyumbu kinomanoma......si unaona Sasa hivi minyumbu ilivyokosa hoja?!!🤣🤣🤣
Imegeuka kuwa zaidi ya mitahira. Kwa mfano, hivi hapa ndo imeanzishwa mada matata hapa yenyewe.
 
Nijuavyo ni kwamba lango la kuzimu linapofunguka na kumeza mwanafamilia huwa haliishii kwa huyo mmoja aliyetangulia, bali inafuata mlolongo wa kukamilisha ratiba ya next.... Kwenye familia marafiki na watu wa karibu. Hili fumbo nimelishuhudia mara kadhaa na hadi sasa linazidi kubainika. Nchi imekubwa na manunguniko mengi na ya wazi, cha kushangaza wale tuliowaamini kusimamia mambo yetu kama nchi wamejaa ujivuni kiburi na ukatiri uliopitiliza.... Tumuombe sana Mola atupe afya na uzima tukiyashuhudia haya yanayoendelea katika enzi hizi za utanzania. 🤔
 
Back
Top Bottom