Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha...
1 Reactions
8 Replies
619 Views
ANGALIZO KWA VIJANA: HAKI YA MAANDAMANO NI YA KIKATIBA — LAKINI LINDA AKILI YAKO KWANZA Kuandamana ni haki yenu ya kikatiba. Hakuna anayepaswa kuwavua haki hiyo ikiwa mnafuata sheria na misingi...
2 Reactions
4 Replies
149 Views
Lile shairi lingekuwa linatungwa katika zama hizi, basi kichwa chake kingesema: ‘Kama mnataka mali, mtaipata kwenye siasa.’” 🖋️ Nachoka mimi
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
Nchi nyingi bando likibaki linapelekwa kwenye kifurushi kinachofuata, na hapa iwe hivyo bando likibaki lisikatwe lipelekwe kifurushi kinachofuata. Unaweza kuona sh, 50 inayobaki kwa watu milioni...
3 Reactions
24 Replies
670 Views
Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii. Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa...
3 Reactions
21 Replies
391 Views
Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo. Kwamba wameshadata. Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata...
0 Reactions
9 Replies
174 Views
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki...
2 Reactions
6 Replies
141 Views
Huwezi kuwalegeza vijana kuacha kudai haki zao kwa kuwapa rojo na uchawa. Vijana wanaona mambo mabaya na miaka ijayo vijana wanaongezeka hawapungui! Ushauri wangu ni kwamba tutengeneze mazingira...
4 Reactions
6 Replies
159 Views
Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa...
1 Reactions
6 Replies
205 Views
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo...
4 Reactions
13 Replies
325 Views
Hili ni onyo kabambe ninalopeleka kwa Wachumia tumbo wote wa serikalini na kwingineko. Kutumia watu wajinga hawa akina Mashimo n.a. hawa wapuuzi mamluki wa jf kujibu Mzee Warioba ni...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni. Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa...
16 Reactions
77 Replies
1K Views
Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi! Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita! I stand to be corrected!
3 Reactions
13 Replies
250 Views
Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya...
5 Reactions
47 Replies
758 Views
2 Reactions
8 Replies
126 Views
  • Redirect
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil...
0 Reactions
Replies
Views
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu...
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
1 Reactions
11 Replies
401 Views
Ni katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ulioongozwa na John Heche Kwa Ufupi ni Kwamba Ujenzi ushamalizika, maana ukiacha hizo Taslimu, mabati, sementi na matofali yamechangiwa Mungu...
15 Reactions
34 Replies
557 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…