Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Jf, Nimekua nikitazama habari kuhusu idadi ya fedha tulizokopeshwa kama Tanzania hadi sasahivi nadhani ukizipanga kuizunguka Tanzania unaezaweza zunguka kama mara 3 hivi ila ukitazama...
1 Reactions
10 Replies
845 Views
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha! Lile gari lenye maminara kibao...
23 Reactions
130 Replies
18K Views
Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Natoa tu angalizo Ili chama kikubwa sana cha Upinzani kisije kurudia yale makosa ya Mwembeyanga ya list of shame Kuna sheria mpya nyingi zimetungwa hapa katikati so msiwe lopolopo ongeeni facts...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee. Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea...
14 Reactions
19 Replies
1K Views
Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). MKOA WA SHINYANGA. TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. YAH: TAMKO LA KUIPONGEZA CHADEMA NA VIONGOZI KWA KUKUTANA NA MHE. RAIS SAMIA SULUHU...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mnaporidhiana hakikisheni mnakamilisha yote mnayaruhusu yale yote watanzania wanataka, huwezi Kuja kwenye makamera kusema mikutano ya hadhara ni moja ya matunda ya maridhiano, katiba Mpya...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna haja ya kupanua wigo wa uwajibikaji kwa makosa ya kazini ili kama taifa tupone. Mkuu wa nchi anapomuamini mtu na kumteua alafu anaenda anaharibu hali ambayo inaitweza serikali, taifa...
1 Reactions
11 Replies
872 Views
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, (Rais Samia: Vyama vya siasa ruksa kufanya Mikutano ya hadhara ) kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Rafiki yangu John Pombe Magufuli pamoja na kupenda Ujenzi naimani huko alipo anapiga makofi kwa kasi ya Ujenzi anayokwenda nayo Dkt Samia Suluhu Hassan ni speed ya kasi na viwango vya hali ya Juu...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ati nimesikia kelele kabla ya kelele zenyewe! Eti Rais Samia katuogopa ndio maana karuhusu mikutano ni kwa sababu tumemchimba mkwara! Acheni kufukia vichwa kwenye michanga kama mbuni, mmeteseka...
1 Reactions
6 Replies
549 Views
Nisiwe mnafiki, hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama kuwa na msimamo! CHADEMA walisimamia msimamo wao kuhusu mikutano ya kisiasa kurudishwa, hawakukubali kuyumbishwa. Walipopata nafasi waliitumia...
6 Reactions
7 Replies
929 Views
Kawaida, maamuzi ya chama lazima yaheshimiwe. Lakini Martin Maranja Masese ameunda kundi la kumpinga Mbowe. Nashauri Mbowe amuonyeshe Martin Maranja Masese kilichomtoa kanga manyoya. Baada ya...
1 Reactions
10 Replies
756 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…