Siyo CHADEMA, Freeman Mbowe, ACT Wazalendo, wala Zitto kabwe wamesababisha haya. Tumpongeze Rais Samia kwa kuthubutu

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Ati nimesikia kelele kabla ya kelele zenyewe! Eti Rais Samia katuogopa ndio maana karuhusu mikutano ni kwa sababu tumemchimba mkwara! Acheni kufukia vichwa kwenye michanga kama mbuni, mmeteseka miaka mingapi? Hiyo katiba iliwasaidia?

Wapinzani wangapi walikuwa jela ninani kawatoa? Leo mnaacha kupongeza hata kwa hatua hii mnaendeleza unaaa? Huyu Rais ni Mungu kamleta kutibu vidonda na majeraha, mwacheni afanye kadiri Mungu anavyomjalia, viva Samia Suluhu Hassan! Viva Tanzanie!
 
Umeisikiliza hotuba ya Samiah?. Kasema hayo ni matunda ya mazungumzo yanayoendelea. Na amedai mazungumzo yalikuwa magumu Sana.
 
Ati nimesikia kelele kabla ya kelele zenyewe! Eti Rais Samia katuogopa ndio maana karuhusu mikutano ni kwa sababu tumemchimba mkwara! Acheni kufukia vichwa kwenye michanga kama mbuni, mmeteseka miaka mingapi? Hiyo katiba iliwasaidia?

Wapinzani wangapi walikuwa jela ninani kawatoa? Leo mnaacha kupongeza hata kwa hatua hii mnaendeleza unaaa? Huyu Rais ni Mungu kamleta kutibu vidonda na majeraha, mwacheni afanye kadiri Mungu anavyomjalia, viva Samia Suluhu Hassan! Viva Tanzanie!
Wewe ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom