Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,377
Nisiwe mnafiki, hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama kuwa na msimamo! CHADEMA walisimamia msimamo wao kuhusu mikutano ya kisiasa kurudishwa, hawakukubali kuyumbishwa. Walipopata nafasi waliitumia sahihi, na hatimae miongoni mwa mambo mengine, Mikutano yote ya kisiasa IMEREJESHWA!
JE, wale vibaraka waliounga mkono zuio la kipumbavu la mikutano ambayo ipo kikatiba, Leo watasimama upande Gani? Natamani wajitokeze walau Kwa dakika waseme neno vile walisema mikutano ya kisiasa inazuia/inachelewesha Maendeleo!
MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU ibariki CHADEMA