TISS ya Diwani Msuya kama CIA na Mossad, hongera sana Director General

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
852
1,000
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin.

Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,955
2,000
Unasifia ulinzi wa viongozi ndo unatoa hongera??? Nilitegemea usifie jinsi wanavyofanikisha ulinzi wa rasilimali za taifa, ulinzi wa uchumi wa Taifa.
Kweli nchi hii imejaa wajinga sana.

Wanashindwa hata kushauri vizuri uchumi uende sawa tumeishia kuua ajira, soko la korosho, mauzo ya mazao na uwekezaji alafu unakuja kusifia maujinga hapa!!
Embu kalale
 

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
919
1,000
Pengine usemacho ni cha maana lakini si kwa hoja hizo.Hapo umeonesha kiwango cha chini sana cha kufikiri.Yani huna tofauti na mtoto wa chekechea. Nyie ndiyo wale kama ni swali la kujieleza, mwalimu anachora mstari kwa wino mwekundu toka pembe moja hadi nyingine(diagonally) kuashiria umeandika utopolo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom