Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi...
Kiukweli nimeamini CCM ni Chama kikubwa tena chenye mipango mikubwa sana sioni Chama cha Upinzani cha kuiangusha CCM kwa miaka 50 ijayo
Hapa nafuatilia Mkutano mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema taasisi mbalimbali zitashiriki kutoa mapendekezo ya sheria kuhusu Tume ya Uchaguzi na Katiba mpya.
Mbowe amesema bunge letu ni kama la Chama Kimoja, so...
Hawa diplomasia ambao hawajui chochote kuhusu mambo ya Fedha kuwapa majukumu ya kujua kila kitu kuhusu pesa na budget zao ni tatizo. Hiyo ingetakiwa kuwa kazi ya watu wengine na inawezekana kabisa...
Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia...
Mamlaka za serikali zimekuwa kero kubwa kwa wananchi. Uliza across the board labda kama wewe ni mlamba asali au familia zao.
Kuna hoi hoi na nderemo kuwa zakusanywa 2Tn/- Kwa mwezi. Humo zimo...
Nimewahi kumsikia kijana mmoja tena Mbunge, Tale Tale akijitambusha kwa Hayati Shujaa Maguful kwamba yeye ni Chawa wake, nikashangaa sana.
Hivi huu Uchawa wa CHADEMA, CCM na ACT Wazalendo...
Hii njemba kweli ni kituko yaani ukisikia kunguru mwoga ndio huyu, ni moja ya watu wanaofanya kazi Kwa uangalifu sana ili asimkwaze boss wake na sio wananchi. Ukiangalia hotuba zake ni uhuni mtupu...
Wana bodi,
Naomba kufahamishwa vizuri. Awali ya yote nitaje majina ya watu walioitwa kuhojiwa kuhusu uraia wao.
Ulimwengu, Ponda, Niwemugizi, Kakobe, Nondo kutaja wachache. Wote hawa...
Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi.
Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile?
Kwamba...
Fikiria Tundu Lissu anafanya mkutano mkubwa pale Kawe, ule mzunguko wa magari na hekaheka za wajasiriamali ni neema ya kutosha kwa Uchumi mdogo wa mwananchi wa kawaida.
Mikutano ya kisiasa ina...
Ndani ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu mambo mengi sana yamefanyika katika kuleta maendeleo Tanzania ukiachilia maendeleo katika kuhakikisha kuboresha huduma muhimu za kijamii kama vile Maji...
Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg...
Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe.
Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea...
Katiba Mpya tunayoiendea ni ya Watanzania na siyo ya vyama vya siasa
Tanzania iliundwa na nchi mbili huru yaani Zanzibar na Tanganyika
Ni vema basi bunge la Katiba likawa na Sura ya uwakilishi...
Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara?
Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri...
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb), ameridhishwa na utekelwzaji wa Mradi wa Maji wa Morong’anya unatekelezwa na RUWASA Morogoro Vijijini.
Mradi wa Maji Morong’anya ni miongoni mwa miradi...
Habari Jf,
Nimekua nikitazama habari kuhusu idadi ya fedha tulizokopeshwa kama Tanzania hadi sasahivi nadhani ukizipanga kuizunguka Tanzania unaezaweza zunguka kama mara 3 hivi ila ukitazama...