Hakuna Waziri mkuu mbovu tangu 1961 mpaka sasa kama wa LINDI

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Hii njemba kweli ni kituko yaani ukisikia kunguru mwoga ndio huyu, ni moja ya watu wanaofanya kazi Kwa uangalifu sana ili asimkwaze boss wake na sio wananchi. Ukiangalia hotuba zake ni uhuni mtupu

Mabehewa ya treni ya SGR alisema ni mapya Kuna utofauti ya Masafa marefu na mafupi anasema ya Masafa marefu huwa ni haya ya kukonganagongana yanakuwa hayana mwonekano mzuri Kwa sababu yanaenda mbali hebu ona sababu anazotoa kama mtoto. Rais akaja kumkosoa indirect Kwa kusema mabehewa ni ya mtumba na sio mapya

Mgogoro wa ardhi Ngorongoro alisema wamasai hawajauawa na hakuna vita inaendelea baina ya mmasai na jeshi letu, kilichokuja kuonyeshwa mpaka tukasema mbona hii njema ongoongo hii

Alisema Magufuli yupo hai kaongea nae sio lazima atembee Kariakoo ili tumuone lakini baadae tukaona inadondosha michozi pale Dodoma

Alisema mikutano ya hadhara iliyozuiwa ni Ile ya mwanasiasa wa kutoka jimbo fulani kwenda jimbo jingine ila unaruhusiwa jimboni kwako tu lakini yenyewe ikawa inazunguka mpaka kwenye majimbo ya wengine, Jana Rais karuhusu mikutano nchi nzima eti na yenyewe inapiga makofi

Hawa waliotokea kwenye akili za ualimu pamoja na yule wa Chato wanashida sana sijui kwakua elimu zao za kuungaunga yaani sio za moja Kwa moja. Wewe kama PM inabidi uwe active maana wananchi wanakusikiliza sana wewe ni public figure

Tunaomba ujiuzuru vinginevyo muda utafika utatolewa Kwa aibu, mwenzako Lowassa mpaka Leo anaonekana mwamba kwa kuheshimu kofia ya Prime Minister hakutaka kuitia aibu ikabidi ajiuzuru.

Yaani huyu bwana LINDI ni muoga hatari na kumbuka Enzi za Jiwe, Makonda alikuwa anamnanga pamoja na uwaziri mkuu wake yaani hata mkuu wa mkoa anamsimanga PM lakini utakuta hii njema ipo kimya tu inalinda ugali, acha uroho nafasi hii haikufai tena ondoka
1672815886717.jpg
 
Naamini hayo mambo ambayo PM anasemwa kwa kutoa taarifa za uongo, inawezekana kabisa hayo yalikuwa ni maamuzi ya baraza la mawaziri, na yeye kama mkuu wao ndio akatoa hizo taarifa zilizoonekana ni za uongo, sasa ndio anabeba msalaba wake, na ndio maana hashughulikiwi na bosi wake, kwasababu nae alikuwa sehemu ya vikao vya maamuzi ya hizo taarifa, huku chini tutaendelea kuimba tu PM muongo..
 
Nchi hii,kila kitu,ulaji wote,fulsa zote zinaanzia Ikulu kwa Rais,ukienda nae kinyume,utadondoshwa tu,sasa tuache unafiki nani hatqki ulaji?mtumikie kafir upate mtaji wako

Waziri Mkuu, anafanya kazi kwa niaba ya boss wake Raisi,

Kwa Khasim, yeye aliyeuliwa na Maghu, sio chaguo la Samia, kwa nchi hii isivyokuwa na Siri, inawezekana anajua kabisa chaguo la Samia, kama ikibidi aweke mtu mwingine.

Tuache unafiki, wengi wetu tungeenenda kama Majaliwa ili mradictuendelee kulamba asali
 
Majaliwa ni seti tupu au tabular rasa. Anapenda kufanya kazi za show off na vyombo vya habari mbele lakini hayuko MAKINI. Ushahidi huu hapa;
1. Suala la Faru John aliingizwa choo cha kike na akaamini kuwa Faru ameuawa, uchunguzi ukagundua siyo
2. Alutuambia Magufuli bado anachapa kazi Ikulu wakati Magufuli alikuwa kisha kufa.
3. Alimvamia DC wa Kilolo na kutaka atimuliwe ila Magufuli hakumsikia
4. Alivamia Ofisi ya Mkaguzi wa Serikali akasema wanaiba Mabilioni kwa kujilipa posho, kumbe si kweli ni malipo halali
5. Aliamuru TANROADS wamtimue Regional Manager wa Morogoro pale daraja la Kiyegeya Gairo lilipoharibika, wala DG TANROADS hakumsikiliza.
6. Kuna mahali alisema msiba wa magufuli umeangaliwa dunia nzima kwa live streaming ya watu Bilioni 4.5
 
Mafisadi wanamchukia mno Kassim Majaliwa, maana ni huyu tu ndiyo akifanya ziara sehemu mavi ya mafisadi yanagonga chupi.
 
Back
Top Bottom