Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza...
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana.
Nchi ya Magufuli low debt to gdp...
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.
Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake...
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji...
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya...
Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine.
Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya...
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana?
Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama:
~ Mauaji ya Kibiti.
~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni...
Wakuu,
Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi.
Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani...
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.
Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya...
Wenyeviti, Jumuiya za Watanzania, MAREKANI.
ZOEZI LA MAJARIBIO (PILOT STUDY) LA KUWAPATIA HUDUMA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA DIASPORA WA TANZANIA WENYE SIFA WANAOISHI NCHINI MAREKANI
TAREHE 17 -...
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote...
Tanzania inajulikana Kama kisiwa Cha Amani Duniani Ila Cha ajabu kwenye Nchi 10 zenye amani Zaidi hapa Afrika haipo hata kumi Bora,tatizo Ni Nini?
Au Kuna tafsiri tofauti ya amani? 👇
ndio tunaanza harakati za kisiasa punde tu baada ya rais kutoa tamko! mimi ninashauku kubwa na hii mikutano natamani kila chama kitapokuwa kinahutubia niwepo ,naamini nitatimiza azma yangu...
Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi...
Juzi Mama karuhusu mikutano ya hadhara ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi. Mama ameendeleza zuio hilo kwa miaka miwili akiwa Rais wa JMT.
Cha ajabu, Wapinzani wengi wamepoteza uelekeo...
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya wa 2023 tunaokaribia kabisa kuufikia, hongereni sana kwa kufika hadi muda huu, pamoja na Changamoto zote za Nchi yetu, vikiwemo, njaa, maradhi, umeme na mfumuko wa bei...
Kwa mfano Mwenyekiti wa Chadema yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 20
Yaani Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema tangu Mbape wa PSG akiwa mtoto mchanga
Kadhalika Mnyika na Salum Mwalimu wako...
Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha...
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi...