Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi. Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari? Wameripoti...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Pana magari almaarufu usiku kwa usiku. Haya ni haramu kwa mujibu wa sheria japo abiria wanaoyahitaji wapo, tena wengi tu. Pana magari Hiace yanazuiliwa kusafiri umbali zaidi ya km 100. Haieleweki...
2 Reactions
6 Replies
676 Views
Baada ya Maridhiano ya Rais Samia na Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Mbowe zuio la kuvunja Katiba kulikofanywa na Rais wa awamu ya 5 liliondolewa kwani Katiba inaruhusu mikutano. Baada ya tangazo hilo...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. ======= Mwenyekiti mpya wa...
20 Reactions
257 Replies
41K Views
Tusije jisahau kuwa chama chetu cha CCM ni chama cha wananchi, zamani tukiita Wakulima na Wafanyakazi. Yametokea mabadiliko mengi katika misimamo ya chama kiasi ambacho watendaji ndani ya chama...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana. Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua...
5 Reactions
162 Replies
26K Views
Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani. Ajira si...
2 Reactions
75 Replies
3K Views
Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA 1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya...
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Kasi ya ukuaji wa Deni la Taifa na kushuka kwa mauzo nje; hali ya uchumi wetu inatishia maendeleo ya watu. Utangulizi Kutokana na taarifa ya tathmini ya uchumi wa nchi yetu kwa mwezi Novemba...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
12 Reactions
54 Replies
5K Views
Shaka alikuwa kishaanza kuimudu kazi ya uenezi. Lakini ghafla bin vuu tunaona anaondoshwa kunako kiti cha uenezi. Tunajiuliza kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameahidi kurejea nchini baada ya kuona Tanzania sasa ni salama chini ya Rais Samia Suluhu kama tunakumbuka Rais Samia Suluhu Februari 2022 alifanya ziara...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kati ya biashara ngumu na sophisticated ni pamoja na biashara ya usafiri wa anga. Makampuni makubwa kabisa ya ndege yenye wataalam wenye weledi na uzoefu, kuna wakati wanaishia kupata hasara. Kama...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Dk Wilbrod Slaa sio kiumbe cha kukibeza hata kidogo! Yule ni mtu na nusu, kwenye siasa za nchi yetu! Nahisi bado ni aset kubwa sana. Kama jibu ni ndio Namuomba sana Zitto Kabwe na Babu Duni...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Leo namsalimi Mzee Kikwete baba wa Democrasia alie kubali yote ukimuona dhaifu poa ukimuona fisadi poa Yani mambo poa. Ukimsema jukwaani anatafuta jukwaa na yeye anakuwa za uso🤭 Leo namuuliza...
0 Reactions
8 Replies
888 Views
Wakati Mwenyekiti wa CCM wa Awamu ya 5 Hayati Magufuli anafanya Ziara Mkoani Morogoro Bw. Shaka alikuwa Katibu wa CCM Mkoa na ktk Mkutano wa Hadhara Mwenyekiti Wa CCM Magufuli Aliuambia UMMA Wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mitazamo ya CCM na CHADEMA kuhusu mapendekezo ya mfumo wa serikali kwenye Rasimu ya katiba mpya inafanana kabisa. wote wamelenga maslahi ya vyama vyao na si maslahi ya wananchi. Kila chama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa sisi wafuatiliaji Wa kandanda, tunapoona timu zetu au za wapinzani wetu zinashambulia bila kufunga magoli, husema nafasi hizo zitakumbukwa na kujutiwa mwisho Wa mchezo hasa pale ambapo timu...
82 Reactions
94 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…