Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi. Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa...
2 Reactions
5 Replies
874 Views
WanaJF Salaam! Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu; Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili...
1 Reactions
1 Replies
702 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof Ahmed Mohamed Ame Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini -LATRA Profesa Ahmed alikuwa Muhadhiri UDSM
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Shaka Hamdu Shaka kupitia mkutano unaoendelea muda huu amesema kuwa kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imewafanya nyoka...
6 Reactions
102 Replies
7K Views
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Moshi/mikoani. Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Rejea ya hiki ninachotaka kuweka hapa Ni kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. Baada ya mikutano ya vyama vya siasa kuruhusiwa tena, CCM na washirika wake wanafanya Mambo ambayo kimsingi...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
ijapokuwa si mfuatiliaji sana wa siasa lakini ukweli ni kuwa siasa ni sehemu ya maisha ya kila mtu. kwa mtazamo binafsi hiki ndicho nakiona. Ni kama kuendelea kujazwa kwa maji kwenye ndoo...
1 Reactions
12 Replies
893 Views
Taarifa iliyotolewa na John Mrema imeeleza kwamba kuna maandalizi makubwa yanafanyika kwa ajili ya Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema , aliyekimbilia Uhamishoni kwa sababu za kulinda Uhai...
19 Reactions
67 Replies
5K Views
Ndege mpya moja kati ya tano ambazo serikali iliahidi itazinunua, inatarajia kuwasili nchini Machi au Aprili, huku nyingine nne zilizobaki zikitegemewa kuwasili nchini kwa nyakati tofauti mwaka...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo Katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na viongozi wa dini kardinal Pengo amemtetea dictator Mussolin aliyetawala Italia enzi hizo kama ifuatavyo. Mussolin...
19 Reactions
256 Replies
32K Views
Habari wadau, mimi sio mwandishi mzuri ila ntajitahidi ili nieleweke. Usajili wa gari za biashara hasa mpya ili zianze route imekuwa changamoto. LATRA wameweka vigezo ambovyo vingi vinawezekana...
1 Reactions
2 Replies
693 Views
Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini. Tumekuwa likizo ya miaka...
2 Reactions
9 Replies
637 Views
Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Tundu Lissu ni mwanasiasa anayerudi nchini Tanzania kula bata baada ya matakwa yake yote kutimizwa, utakuta kuna mtu anamsubiri Tundu Lissu akiamini ni mpinzani, la hasha, Tundu Lissu anarudi...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania ambao ni Balozi wa Cuba...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…