Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi jirani hapo Karibu na kwetu Rombo walikurupuka na Katiba Mpya lakini bado wanalia hadi leo japo Katiba mpya wanayo Kutengeneza Katiba ni mchakato unahitaji Utulivu mkubwa wa akili Je...
3 Reactions
6 Replies
518 Views
Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi...
1 Reactions
9 Replies
651 Views
Mji wa Sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa Rukwa. Baada ya suala barabara kukamilika kutoka Mbeya mpaka Mpanda kiwango cha lami usafiri umekuwa wa uhakika mabasi na magari mengi yana tumia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moshi. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka watumishi, watendaji na wadau wa Mahakama kujiepusha na vitendo vya rushwa na kuweka mifumo mizuri itakayowezesha utatuzi wa migogoro kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa.. Serikali ya awamu ya 6 Inayoongozwa na Rais wa Maneno kidogo na matokeo makubwa mh.Dk Samia S.Hassan imetenga Shilingi Tilioni 1.5 kwa ajili ya Kuimarisha elimu ya Msingi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kudos Wadau.. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango ameifananisha Kasi ya kutekelezwa Kwa miradi chini ya Rais Dk. Samia kama Fiston Mayele wa Yanga. Dk.Mpando alikuwa akizungumza wakati wa kushuhudia...
10 Reactions
47 Replies
4K Views
Ikumbukwe kwamba wakati mfumo wa vyama vingi unaingia nchini Tanzania , kutokana na shinikizo la Kimataifa mwaka 1992 , kulikuwa na matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Serikali ya Tanzania ili...
15 Reactions
32 Replies
3K Views
Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question " Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Yeroo! Benki ya Dunia imesema Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa Asilimia 5.6% mwaka 2023 ikiwa ni zaidi ya ukuaji wa mwaka 2022 licha ya kwamba uchumi wa Dunia Utadorora. Utabiri huu...
11 Reactions
129 Replies
7K Views
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika...
1 Reactions
6 Replies
820 Views
Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli. 2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli 3. Ndege tulizoambiwa na...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba...
2 Reactions
14 Replies
954 Views
Hii ndio Taarifa ya leo kutoka kwenye Mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ambayo leo inaendelea kwenye viwanja vya Sabasaba maarufu kama Shamba la Bibi huko Tarime. Umati mkubwa wa Wananchi...
14 Reactions
45 Replies
4K Views
Kisiasa makamu Mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu alisharejea nyumbani tangia 2020 na akagombea uRais na kushika namba 2. Tundu Lissu alipata 13% ya kura zote na kiukweli kutukana na mazingira ya...
0 Reactions
5 Replies
561 Views
Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya...
3 Reactions
11 Replies
740 Views
Tunakumbushana tu kwa sababu maneno yamekuwa mengi kufuatia Mchungaji Kimaro kupewa Likizo ya lazima na mwajiri wake ambaye ni KKKT. Hiyo ni kawaida sana kwenye ajira za Sekta binafsi Tusikuze...
17 Reactions
131 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh. Mbowe Wakati akiwa katika hafla au ufunguzi wa mikutano ya kisiasa, iliyopigwa marufuku kwa takriban miaka sita Nchini Mjini Mwanza, Tanzania. Alimaka. Wakati wa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2023.
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…