Je, kuna Uwezekano wa kupata Katiba Mpya iliyo " Bora Kabisa" Kabla ya 2025? Au twende taratibu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Nchi jirani hapo Karibu na kwetu Rombo walikurupuka na Katiba Mpya lakini bado wanalia hadi leo japo Katiba mpya wanayo

Kutengeneza Katiba ni mchakato unahitaji Utulivu mkubwa wa akili

Je, tunaweza kupata Katiba Mpya Bora Kabisa ndani ya miaka miwili?

Lisu Home Coming!
 
Tunaweza kabisa!, tena nimemshauri Mama, asisubiri 2025-2030, it might be too far.

Kwavile Mama amesema atayaendeleza yote ya JPM, JPM alikuwa atuachie katiba mpya https://www.jamiiforums.com/threads...cha-legacy-kubwa-ikiwemo-katiba-mpya.1502785/
Hivyo sasa ni Samia
P
 
Back
Top Bottom