Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara...
2 Reactions
12 Replies
939 Views
WINGU la mashaka juu ya mustakabali wa utawala wa Kagame nchini Rwanda ,lilianza kutanda muda mfupi tu baada ya maadhimisho ya 12 ya mauaji hayo ya Kimbari ,pale Mwanasheria wa ICTR alipotangaza...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kupokelewa jana Tundu Lisu ameshangaa kukuta kila kitu bei juu tofauti na alivyoacha mwaka 2020 baada ya kumaliza uchaguzi mkuu na kukimbia nchi kwa kisingizio kwamba anataka kuuawa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Fursa na vikwazo katika maridhiano ya kisiasa Tanzania Kuna msemo unaohusishwa sana na mchezaji mashuhuri wa mchezo wa besiboli nchini Marekani, Lawrence “Yogi” Berra kwamba “ni vigumu kubashiri...
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati...
4 Reactions
19 Replies
898 Views
Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwaka 1972 ulianzishwa mradi wa maji wenye urefu wa kilomita 128 uliobuniwa na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya (DDD) wa wakati huo kanali NSA KAISI. Mradi ulilenga kusaidia kuondoa shida ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia...
41 Reactions
598 Replies
69K Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu. Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi...
0 Reactions
9 Replies
895 Views
Ni rai kwa wanausalama na kwa wapenda Amani wote! Tumekuwa na Amani na utulivu kwa muda kitambo sasa licha ya mazuwio ya kisiasa, lakini nchi yetu imekuwa na Amani na shwari Hivi majuzi mpendwa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamiiforums kupitia ukurasa wake wa Twitter imeandaa space ambayo itatoa fursa ya dakika 2 kwa Wananchi kutoa maoni au (kupaza sauti yao) kuhusu suala lolote linalowagusa katika Wizara yoyote hapa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Machawa lazima wajue kuwa Jana Lissu hakuhutubia chochote yeye alikuwa anashangaa kwa aliyoyasikia baada ya kutua nchini. Subirini kile ni kionjo tu.
2 Reactions
1 Replies
394 Views
Hotuba ya kwanza ya Lissu ilikuwa jana. Basi kama ilivyo kwa makombora tulitegemea majibu thabiti kutokea ule upande mwingine. "Kinyume chake kumepiga kimyaaaa!" Kwa kimya kingi hiki ni wazi...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Bwana Hashim Rungwe yeye hana makubwa. Sera za chama chake ni ubwabwa tu. Wakati huu mchele unapopanda bei n kutoshikika, wakati wa ubwabwa ndio huu.
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
MKUU WA TAKUKURU (M) MKOA WA KILIMANJARO S.L.P 1951 Moshi-Kilimanjaro Imetokea taharuki mkoani Kilimanjaro baada ya kuonekana mtaani kwa aliyekuwa katibu wa chama cha walimu CWT Mwl G. Irumba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…