CCM jitokezeni kulaani ufisadi huu

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
334
Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya.

Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo lake hela zimeliwa miradi yote ya vituo vya afya imesimama.

"Nakuomba Kaka yangu, Mh Kassim Majaliwa, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uje Buchosa ujionee, vituo vya afya vya Maisome na Nyanzenda havijakamilika pesa zimeliwa na kazi haijaisha" ameandika Shigongo.

Ni muhimu sasa CCM kujitokeza hadharani kulaani ufisadi huu.

Erick Shigongo.
 
Sa100 amesharuhusu watumishi wale kwa urefu wa kamba zao..wewe nani kupinga kauli ya hangaya.

Acha wale kwa urefu..mana hao unaowaita waje kuona hiyo miradi ndio ma legend kwenye kupiga dili.

Kumbuka kijani hakuna mwadilifu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huo sio utamaduni wetu sisi kama mbogamboga kuanza kulaani ufisad na wizi huo ni utovu wa nidhamu kwa viongoz wetu. Mtoa mada mimi kama kijana wa mbogamboga nakupa elimu hii... Jifunze kutoongea wakati wa kula!! Ahsnt
 
Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya.

Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo lake hela zimeliwa miradi yote ya vituo vya afya imesimama

"Nakuomba Kaka yangu, Mh Kassim Majaliwa @kassim_m_majaliwa, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uje Buchosa ujionee, vituo vya afya vya Maisome na Nyanzenda havijakamilika pesa zimeliwa na kazi haijaisha" ameandika Shigongo

Ni muhimu sasa CCM kujitokeza hadharani kulaani ufisadi huu

Wanaoiba ni WanaCCM. Itakuwaje mwizi ajilaani mwenyewe?
 
jambazi anaweza kumrekebisha jambazi mwenzake kuwa mwema.
ccm ni vipofu wanaovushana barabara
 
Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya.

Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo lake hela zimeliwa miradi yote ya vituo vya afya imesimama

"Nakuomba Kaka yangu, Mh Kassim Majaliwa, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uje Buchosa ujionee, vituo vya afya vya Maisome na Nyanzenda havijakamilika pesa zimeliwa na kazi haijaisha" ameandika Shigongo

Ni muhimu sasa CCM kujitokeza hadharani kulaani ufisadi huu.

Erick Shigongo.
IKIJITOKEZA NA KULAANI Basi MAGUFULI ATAFUFUKA SIKU HIYO HIYO
 
Mtajijuaaa wenyewe
Nyie kuleni,ibeni mpaka
Mwisho wake

Ova
 
Back
Top Bottom