Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2019 ulipoanza ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwabayanda kata ya Sukuma wilaya ya Maswa ,mkoa wa Simiyu wananchi walifurahi mno na kurukaruka kuwa mwisho wa adha ya kutembea umbali mrefu...
3 Reactions
3 Replies
563 Views
U hali gani Mtanzania? Napenda kutoa wazo na pendekezo maalumu kuhusu afya za wagombea Urais, Ubunge, Udiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa au Vijiji liwepo ndani ya Katiba Mpya itakayokuja...
1 Reactions
2 Replies
439 Views
Leo 27/January ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya Sita wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 63 hapa Duniani. Rais alizaliwa January 27 mwaka 1960 katika nchi...
17 Reactions
67 Replies
4K Views
Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
0 Reactions
8 Replies
833 Views
Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme...
7 Reactions
110 Replies
8K Views
Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje? Nashauri kamati ya...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Watanzania kwa kiasi kikubwa inaingizwa hasara kubwa na makampuni ya China. Kwa asilimia kubwa barabara nyingi zimejengwa na makampuni ya Kichina. Barabara hizi hazieleweki kama ujenzi wake...
14 Reactions
45 Replies
2K Views
Source: Mwananchi Newspaper Ijumaa, Januari 27, 2023. Muktasari: "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kada wake, Nemes Tarimo aliyefia vitani nchini Ukraine akitetea masilahi ya...
2 Reactions
11 Replies
930 Views
Wakuu habari za leo, Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika...
0 Reactions
13 Replies
886 Views
Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha...
3 Reactions
13 Replies
896 Views
Hawana tofauti na zile kampuni za kukodishwa kulia na kuomboleza misibani! Ambao huweza kulia kwa machozi tosha,ilhali hata Marehemu mwenyewe hawakuwahi kumuona kavla ya kufariki. Achilia mbali...
0 Reactions
6 Replies
678 Views
Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
4 Reactions
7 Replies
788 Views
Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu Kwa uhai huu na muujiza mkubwa ambao ameufanya Kwa Tundu Lissu. Pia namshukuru Mungu Kwa kumuondosha haraka kwenye USO wa Dunia bazazi aliyengia disco na jambia au...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limeitaka Urusi kukoma mara Moja kuwatumia Watanzania kwenye Vikosi vyake Vitani CUF wamesema jambo hilo halikubaliki kabisa Chanzo: Mwanzo tv
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena Jumaa kareem!
0 Reactions
1 Replies
622 Views
VIONGOZI WAKUU WA KANISA LA EVANGELICAL ASSEMBLESS OF GOD OF TANZANIA [E.A.G.T] AKIWEMO ASKOFU MKUU WACHUNGUZWA KWA RUSHWA Ndugu WanaHabari, Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na...
8 Reactions
208 Replies
38K Views
Wananchi nawasabahi, Kabla ya mfumo wa vyama vingi kulikuwa na chama kimoja cha siasa nacho ni CCM, hivyo CCM haikuwa na chama rafiki kwa humu nchini. Baada ya mfumo wa vyama vingi kuruhusiwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL, Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…