Iringa Mjini waomba Tundu Lissu akalete Uamsho wa Kisiasa mkoani kwao!

Wananchi wa Iringa Mjini wamemtaka mchungaji Msigwa ahakikishe Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu anafika Iringa haraka iwezekanavyo kwa mkutano wa hadhara

Wakizungumza maeneo ya Kitanzini Wanyalu hao wamesema Siasa za Iringa zimepooza sana na unahitajika Uamsho wa haraka
Mbowe ili akawaelezee wanachama wa huko kilichojiri kwenye maridhiano.
 
Wananchi wa Iringa Mjini wamemtaka mchungaji Msigwa ahakikishe Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu anafika Iringa haraka iwezekanavyo kwa mkutano wa hadhara

Wakizungumza maeneo ya Kitanzini Wanyalu hao wamesema Siasa za Iringa zimepooza sana na unahitajika Uamsho wa haraka

Nimepita hapa Gangilonga wanasema pia aje. ila pongezi kwa mama Samia zimekuwa nyingi sana.
Tuendelee kumuombea mama ulinzi wa Mungu juu yake.
 
Wananchi wa Iringa Mjini wamemtaka mchungaji Msigwa ahakikishe Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu anafika Iringa haraka iwezekanavyo kwa mkutano wa hadhara

Wakizungumza maeneo ya Kitanzini Wanyalu hao wamesema Siasa za Iringa zimepooza sana na unahitajika Uamsho wa haraka
Leo chanzo cha habari sio ITV?
 
Cha muhimu asitukane, Samia haogopi hoja,
awamu hii ni mwendo wa hoja kwa hoja, sio hoja kwa bunduki
 
Akitukana si kuna polisi na mahakama, kwa nini mnajihami hami na kujificha kwenye hiki kichaka kidogo sana?!

Back
Top Bottom