Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,201
1,839
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
 
Kwahiyo hapa unataka ku justify nn? Hebu kabla anza GDP per capita kati ya Belgium na bongoland!! Then tuendelee!! Mkiambiwa mlinganishe umasikin kati ya bongoland na ulaya mnakua wakati kama ng'ang'a!!
 
Halafu mwanasiasa anayetaka urais wa nchi anakuja kushangaa bei, wakati alitakiwa aelezee wananchi mpango alio nao kwa kilimo Cha Tanzania ili kitoke hapo kilipo endapo CDM itachukua nchi. Ile hotuba haikuonyesha leadership yoyote ile
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Kwenye uchumi mnalinganisha tanzania na ulaya. Kwenye democrasia mnasema wao walianza miaka mingi kujitawala.
Acha uzuzu. Hata kiuhalisia tu huwezi kufananisha maisha ya watu wa masaki na tandale. Na ndio maana bei za bidhaa za kariakoo na mlimani city hazifanani hata kama ubora ni ule ule!
 
Mfumo uliopo ndio umesababisha hiyo bei si upinzani mliuondoa na kujinadi eti,
Viti vya ubunge kashinda mmoja tu.
 
Ww ndo huyu
JamiiForums3817054.jpg
 
Kwenye uchumi mnalinganisha tanzania na ulaya. Kwenye democrasia mnasema wao walianza miaka mingi kujitawala.
Acha uzuzu. Hata kiuhalisia tu huwezi kufananisha maisha ya watu wa masaki na tandale. Na ndio maana bei za bidhaa za kariakoo na mlimani city hazifanani hata kama ubora ni ule ule!
Hata ningekuwa mimi ningeshangaa kwakweli. Mchele, embe vitoke kwenye ardhi yetu, na tena kuna wakati vinaharibika, ila bei yake haishikiki, kisa....wageni wamefunguliwa nchi kuja kuvuna/nunua toka shambani direct kwa kutumia pesa yetu wenyewe.

Lakini pia, Lisu akumbuke, watanzania wanaoweza kuikimbia nchi kwa sababu za kuonewa nchini kwake, ni wale wenye level ya ufisadi kwenda mbele. Wengi tuliobaki ni kulalamika tu na kumuomba Mungu
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Tuletee na vima vya mishahara yao, wa juu kabisa, wakati, na wa chini kabisa, then ndiyo uandike ulichoandika baadhi ya wana ccm wenzangu bana dah,wanakuwa akili sijui zimehamia wapi.
 
Kwahiyo kwa uzi huu maana yake atuache tu maana tumeona hata ubelgiji hali ni kama hiihii yetu tena na zaidi!
Hivi ubelgiji wanalima Maharage?
Aseme ukweli bei ya vyakula kwenye soko la dunia ni kubwa kutokana misukosuko ya kiuchumi ndio maana kongamano la uchumi duniani mwaka huu moja ya ajenda zake ni kujadili Hali ya upatikanaji wa chakula duniani
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Shule mlienda kusomea ujinga - Faiza Foxy
 
Tuambue na GDP/ per Capita Yao ni ngapi kulinganisha na Tanzania
Ishu ya msingi sio GDP au per capita hoja hapa ni ishu ya kupanda bei ya vyakula ,je lissu kushangaa vitu kupanda bei ni sawa huku hata ubelgiji bei za vitu zilipanda sana?
 
Hapo Belgium hakuna mwananchi anashindwa kununua nyama au Maharagwe na kama hana Kazi serikali inampa pesa.

Ndio Bei zimepamba lkn serikali nayo imepandisha mshahara sambamba na inflation
Natunza comment yako
 
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.

Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na hapa nitatumia takwimu.

Zifuatazo ni takwiku za bei ya nyama na maharage nchini ubelgiji alipokuwepo Lissu na katika soko la dunia.

Lissu anaonesha kushangazwa na kupanda kwa bei na hapo takwimu zinaonesha vitu vimepanda bei sana kwenye soko la dunia na hata huko ubelgiji alipokuwa anaishi

Ukiangalia takwimu/data hizo utagundua bei ya maharage na nyama kwa Tanzania ni chini ya bei ya wastani
Tupe na gharama za bando
 
Back
Top Bottom