Mzozo wa Congo, kwanini mchokozi asiwajibishwe?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,226
35,151
Katika mizozo yote, kila siku pana mchokozi na mhanga.

Congo imekuwa ikiinyoshea kidole Rwanda siku zote kuwa ndiyo yenye lake jambo kwenye mzozo huu.

"Kulikoni kushindwa kumfunga Paka kengele? "

IMG-20230127-WA0012.jpg

Tanzania ya Nyerere haikuukubali katu upuuzi wa namna hii. Haikujali ulikuwa ukitokea Saharawi, Palestine, Iraq, Grenada, Mozambique au Vietnam. Tanzania haikuwahi kukaa kimya.

"Mchokozi asiyesikia hutiwa adabu kabla ya maisha kuendelea."

IMG-20230126-WA0001.jpg

Kulikoni mzozo wa Congo kuwa wa kudumu na kwa miongo zaidi ya miwili sasa, watu wasiokuwa na hatia wakiendelea kutaabika na hata kufa?

Kulikoni wanajeshi kwa maelfu kutoka nje walioko Congo kwa malengo ya kuuzima mgogoro huu kuendelea kuwapo bila ya mafanikio?

Kwanini mtuhumiwa huyu asisimamishwe uanachama EAC japo kwa kuanzia ili kujiridhisha na ikithibitika akafunzwa adabu vilivyo?
 
Congo ni nchi yenye jeshi matako kabisa linakera na halistahili kuwa na hata one star General mmoja. Ukiwaona wanavyopigana wanadai mapigano makali ila ukifuatilia ni kwamba M-23 wakifanya movement hao FARDC wanaondoka eneo hilo bila heavy resistance.
Kazi ya M-23 ni kutangaza tunaenda kuvamia eneo hili, wakishajitokeza na kufyatua risasi mbili tatu FARDC kazi yao ni kuretreat. Jeshi gani linapigana kwa retreat kuliko advancement.

Na serikali ya DRC ni walaini. Muda ambao Felix kawa Rais unamtosha kabisa kuwa ameshika madaraka ipasavyo na akiamua jambo political will inaenda kwa moyo mmoja. Sababu za deko wanazotoa Congo kushindwa ni upuuzi tu.

Abiy Ahmed pale Ethiopia alikaa miaka michache tu akawasoma kwanza kisha ghafla akaondoka mamluki, Tigrayans walivyojifanya wanaleta armed resistance aliwanyoosha mara moja. Hapo kaingia hamna silaha za kutosha ila kafanya procurement ya haraka sana. Uturuki, UAE, China wamempa drones tofauti, kanunua artillery na silaha ndogondogo hata za Iran. Ile vita aliyopigana ni heavy na Tigrayans wanajua vita ya kisasa sio hawa M-23. Wamekufa watu maelfu na mamilioni wamehamishwa makazi ila uamue moja nchi isambaratike kwa kuendekeza upuuzi au ulazimishe serikali iheshimiwe na nchi ibaki na utengamano.

Congo haihitaji silaha za hata $1 billion kuanzisha operation ya maana. Ground attack jets zenyewe wanazo tatu tu Su-25, drones hawana, artillery za maana hawana. Sijui priority yao hao lala lala ni nini.

Kwani Mali Republic ina hela gani kushinda DRC, mbona inafanya procurement ya maana na training ya nguvu na waasi inawatandika ipasavyo. Congo sio nchi ya kushindwa na mamluki wa Uganda na Rwanda kwa pamoja, ni uwendawazimu wao tu jeshi la kukata mauno bora hata mgambo wetu.

Vita inayoshindikana kwa kupambana inajulikana, na inayoshindikana kwa uzembe inajulikana.
 
CONGO DR iliwekewa vikwazo vya kununua silaha tokea 2005 hadi Mwaka huu ndio Zuio limeondolewa na UN. Kwa sasa wanaruhusiwa nunua
 
Inasemekana Tshisekedi yuko busy Kinshasa kuratibu ujio wa kiuongozi mmoja mkuu wa kidini
 
Rwanda inaongozwa na Paul Kagame. Huyu Paul Kagame ni Putin wa EAC, anaogopwa na kila kiongozi wa ukanda huu wa Afrika.

Nani atamgusa Kagame?

Huyu mama....kwa jeshi gani? Waliuaws na M23 enzi za JK kama kuku.

Ruto....kwa jeshi gani? Walipukutishwa na wasomali (Alshabab) miaka michache iliyopita

Museveni huyu ni swahiba wa Kagame. Lkn hata hivyo hafui dafu kwa Rwanda. Burundi na na vinchi vingine wala siviongelei
 
CONGO DR iliwekewa vikwazo vya kununua silaha tokea 2005 hadi Mwaka huu ndio Zuio limeondolewa na UN. Kwa sasa wanaruhusiwa nunua
Congo hata training hamna, imejaa mamluki jeshini kila kona. Intelligence hamna. Matatizo yake sio silaha tu
 
Kagame anatakiwa kuchapwa hadi Kigali. Congo sasa hivi waba zana nzuri za kivita kiasi kwabwa akikaa vizuri atamtandika Rwanda bila shida
 
Hiyo sio kazi ya Rais kufanya. Ni uzembe wa serikali yake kwenye kuzingatia usalama hasa Mashariki ya Congo
Kumbuka Tigrayans na Abiy Ahmed haikuwa hadi alipo kasimu u waziri mkuu akatupia kombati na kuingia uwanjani. Vinginevyo Tigrayans walikuwa kwenye viunga vya Addis Ababa.
 
Rwanda inaongozwa na Paul Kagame. Huyu Paul Kagame ni Putin wa EAC, anaogopwa na kila kiongozi wa ukanda huu wa Afrika.

Nani atamgusa Kagame?

Huyu mama....kwa jeshi gani? Waliuaws na M23 enzi za JK kama kuku.

Ruto....kwa jeshi gani? Walipukutishwa na wasomali (Alshabab) miaka michache iliyopita

Museveni huyu ni swahiba wa Kagame. Lkn hata hivyo hafui dafu kwa Rwanda. Burundi na na vinchi vingine wala siviongelei

Huyu mbona hata kwa Congo hawezi kufurukuta? Ni land locked country. Huyu mbona hata bila kufyatua kitu (kama yule mwamba wa Commorro) anatepeta asubuhi tu?
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom