Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,444
- 7,808
Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street.
Lakini kwasababu ya kutekeleza malengo haya tuliyoelekezwa na umoja wa Afrika na Dunia, tumeweza kuisafisha Dar es Salaam na hivyo hivyo tunasafisha majiji mengine makubwa kama Mwanza, Mbeya, Dodoma na kwengine kote pamoja na Arusha.