Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wafanyabiashara ya Madawa ya kulevya, Mafisadi, Wahujumu Uchumi, Wauaji na Watekaji, wanafanya kila njia kuhakikisha katiba mpya haipatikani. Mara watasema, Katiba mpya si kwaajili ya...
5 Reactions
6 Replies
312 Views
SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni...
5 Reactions
15 Replies
389 Views
Ndiyo chama hiki bado ni bora chaweza kushinda ndani ya sanduku la kura na hili ndicho kilichotokea
1 Reactions
5 Replies
142 Views
Ninakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari. Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike...
3 Reactions
17 Replies
278 Views
Arudi CCM ni kujifia!! Arudi CHADEMA hatipokelewa Tena. Kwa umri wa SELASINI, Jamaa bado alikua na miaka ya kutosha kufanya Siasa. Njaaaa za kipumbavu
4 Reactions
6 Replies
201 Views
Ninakuambia hapa na kukushauri, suala sio Urais , Wewe ni Binadamu!!. Huko CCM Kwako ni kwa moto, Kila Mtu anapambana kuzidi kukufanya uonekane ni Mbaya, Katili ,na dikteta usiye na Mfano ( japo...
4 Reactions
4 Replies
198 Views
Je vyombo vya usalama vimekuwa machawa au ni Uzalendo 1. Je utekaji unaweza kuwa uzalendo? Hasa kwa watu wasio na hatia 2. Kulinda watu ambao wanaiba kura na kushiriki wizi wa kura ni uzalendo...
4 Reactions
7 Replies
205 Views
- kuna chuki na uhasama uliosababishwa na wanaoitwa wasio julikana wakiteka , kupoteza na kuuwa raia. yawezekana ni haohao hapo juu ndio walioua ndugu zetu kwa maelfu oct 29. yawezekana ndo...
1 Reactions
2 Replies
112 Views
Alafu Wapinzani nao kukicha, Mnaanza habari za 2030 vile ,2030 hivi , ni kwamba mmekubali yaishe aongoze mpaka 2030??. Mtapigwa kipigo kibaya sana , CCM mnawajua hamuwajui? . CCM inatakiwa...
1 Reactions
6 Replies
157 Views
Sioni Harakari na Maisha ya kisiasa ya Mwl Nyerere penzi za Ukoloni, Yakifikia Maisha ya TUNDU LISSU katika zaman hizi za Wakoloni Weusi. Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, ila Historia...
4 Reactions
20 Replies
404 Views
Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM...
5 Reactions
11 Replies
235 Views
Hakuna marefu yasiyo na ncha, uzuri ni kwamba historia ni Mwalimu mzuri sana, Ipo siku ataanza kuandamwa mtu mwingine alafu watanzania hawa hawa watamsahau Lissu, Najua upepo uvumao kwa nguvu...
9 Reactions
156 Replies
14K Views
PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa...
40 Reactions
76 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
10 Reactions
69 Replies
2K Views
DeletedMember281674
Akiwa katika Moja ya Mikutano yake ya Chama, amesema Kwamba Kuna gari limekuja nyumbani kwake aina ya Land cruiser Hardtop Nyeupe iliyosajiliwa kwaal namba T. 318 EQJ ikiwa ni na namba ambazo ni...
1 Reactions
6 Replies
257 Views
1.Jeshi la Wananchi: Mlindeni Heche. 2. Jeshi la Polisi: Mlindeni Heche. 3. TISS: Mlindeni Heche. 4. Dini zote Tanzania: Mlindeni Heche. 5. Makabila yote Tanzania: Mlindeni Heche. 6. Wanasayansi...
3 Reactions
4 Replies
187 Views
Hamjambo! Hii unaizungumziaje? Mtu anadai ni mwanaharakati wa haki za binadamu. Huku anapigana na dhulma za CCM. Alafu muda huohuo anawatetea Wamarekani wanapoionea Iran. Au yupo Upande wa...
3 Reactions
29 Replies
346 Views
Katika kuyajibu maswali aliyoulizwa kuna sehem kaulizwa uhusiano wake na Magufuli nje ya siasa akasema haya swali lililotangulia kwamba je ni kweli ana mpango wa kwenda ICC amejibu hapana na...
19 Reactions
26 Replies
12K Views
Mwanzoni Rais wetu alipendwa sana na mpaka baadhi ya nchi zikatamani kumuazima akatawale kule kwa siku kadhaa au miezi kadhaa, hii ilileta picha kwamba ama Magufuli alikuwa anafanya vema mwanzoni...
15 Reactions
153 Replies
18K Views
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee...
43 Reactions
105 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…