Habari, mama nikupongeze kwa dhamira yako nzuri ya kuliponya Taifa, lkn ili tume ya haki jinai ifanye kazi vzr nashauri mambo 3.
1. Tuombe msaada toka nje kwa wabobevu wa uchunguzi, na tume hii...
Tunavyofahamu sisi Wananchi ni kwamba mapendekezo ya Katiba mpya yako kwenye Ripoti ya Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla
Kwamba, Vyama vyote vya Siasa isipokuwa Chadema ndio viliandaa Ripoti hiyo...
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi-...
Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika...
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
Rev. John E. Kimario
Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki...
Kumchafua Magufuli ni jambo gumu sana ambalo limefanywa kwa nguvu kubwa miaka miwili sasa na hakuna mafanikio. Kazi hiyo wamepewa watu wa aina tofauti wenye ushawishi lakini bado imekuwa ngumu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Wataalamu wa Chadema na wenzao wa CCM wameketi pamoja kuangalia namna bora ya kupata Katiba mpya.
Kuhusu yeye kutoelewana na Mwenyekiti Mbowe...
Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter...
Alipofariki Magufuli, umeme ulianza kukatika katika hovyo na mgao usio na mpangilio.Mambo mengi yalianza kukwama.
Sababu tuliambiwa ni eti Magu hakuwahi kufanya ukarabati wowote kwenye miundo...
Kuendelea kuwa na hasira juu ya wasiokuwepo ni ujinga na kupoteza muda!
Muda hausubiri bali tukitaka muda utusubiri ni kufanya tulimbikize mambo mengi yatupasayo kufanya sasa!
Dunia iko mbaali...
Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko
There is...
Ndugu Paskali salaam,
Una kila haki ya kutoa maoni yako. Na kwa kuwa haki hii ni ya kikatiba, basi hakuna mtu anayeweza kukunyang'anya. Nimesoma kwa makini sana makala yako Shambulizi la Lissu...
Mambo matatu muhimu kwa wapelelezi katika shambulizi la kutaka kuuwa kwa Lissu, yanayoweza kuwatia nguvuni wahusika, kumpatia Lissu haki yake na kuhitimisha suala hili kabisa ni haya
1. Walinzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala...
Mamia wakifurahia na kuwapokea viongozi waliongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg Daniel Chongolo
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akiambatana na Katibu wa...
Wana wema,
Naomba kuuliza nini hasa maana ya kuruhusu mikutano ya siasa. Nasikia na kuona ratiba ya vyama vya siasa hasa upinzani inaonesha ni kuzunguka nchi nzima. Kufanya nini ilhali hakuna...
Ukimuondoa Mheshimiwa Rais Samia!
Jina linaloongoza kwa kuongelewa nchini kwa sasa ni Jina la Shujaa John Pombe Magufuli (R.I.P).
Iwe ni:
Mitandaoni!
Magazetini!
Vinywani mwa Raia!
Vinywani mwa...
Hello!
Haya Sio Maneno Yangu Bali ya Waziri Bashe..
Bajeti ya Kilimo imeongezeka kutoka Bil.291 Hadi Bilioni 900.
Mjumbe hauwawi.👇
---
"Mimi ukiniuliza toka moyoni, hii ni serikali ya awamu ya 6...
Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu...