Ndugu Mpina.
Unaupiga mwingi sana.
Kinachonifurahisha, unahoji mambo ya msingi sana, na hivyo ndivyo inavyotakiwa.
Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya wewe kugusia ishu ya katiba mpya...
Kuna watu tunahoji nini kilimshinda Anthony Mtaka mpaka akahamishiwa Njombe huko kwenye mashamba ya mbao na parachichi, kutoka katika Jiji kuu la kisiasa? . Dodoma ni mahala ambapo angeweza...
Habari zenu wana JF,
Aisee hawa CHADEMA walikuwa kimya muda mrefu ila sasa nauona moto wao najinsi walivyoshika hisia na matumaini ya watanzania.
Leo mida ya saa 4:30 hawa CHADEMA walipita na...
1. Ameshukuru Mungu kuwa yupp hai leo despite maswahibu yaliyomkumba
2. Hajalipwa stahiki zake kama Mbunge
3. Pesa ya matibabu yake hajalipwa kwa mujibu wa sheria
4. Dereva wake yupo Ubeligiji...
Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya...
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya.
Wakati...
Heshima mbele wakuu,
Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya...
Hello Wadau hongereni Kwa kazi..
Ripoti ya hali ya ubora w maisha kutoka Benki ya Dunia inaonyesha kwamba ubora wa Maisha Kwa Kila Mtanzania umeimarika sana Kwa miaka 10 iliyopita.
Tarifa ya...
Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini.
Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa.
"Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi...
Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina.
Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua...
SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
Bavicha wote wamehamia Arusha kwa muda wakkongozwa na mwenyekiti wao John Pambalu
Umeitishwa Mikutano mkuu wa mkoa kupanga mikakati ya mapokezi ya mh Godbless Lema
Mungu wa mbinguni awatangulie!
PhD inajikita katika eneo fulani Dogo tu la tasnia au Sekta fulani
Sasa hii ya Mwigullu Nchemba kujifanya yeye ni Bingwa wa Uchumi wote atakuja kututenda kama Kwenye Korosho za Mtwara
Mwenzake...
Iwe ni familia au nchi, dira kubwa na muhimu kuliko zote kuyafikia maendeleo ni uongozi. Kutokana na umuhimu huo ndiyo maana mataifa huamua kutumia gharama kubwa sana kuwapata viongozi.
Kiongozi...
Wale walifanya jaribio la kukatisha maisha yake sasa hivi wamevimbiwa.
Mh Lissu sasa hivi anaishi kwa raha nyumbani kwao akiwa na familia na marafiki zake aliowazoea tangu anakua.
Ila kuna watu...
WanaJF, SALAAM!
Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia...
Toka 2014 mpaka sasa,inakaribia takribani miaka 5 tangu (WILLIAM FULTON) mwanzilishi na mkurugenzi wa kituo cha MANGO TREE ,kituo kilichokuwa kikihusika na Msaada Wa kielimu kwa Yatima,Wenye...