▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Dar es...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, amenusurika kipigo baada ya kundi la vijana wanaojiita G-Z kumrushia mawe wakati akihutubia wananchi leo.
Tukio hilo limetokea kufuatia hasira za vijana hao...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, nikiwahimiza Watanzania, tuache chuki, ni ugonjwa hatari unao eneo kwa kasi kwenye taifa letu, uliokolezwa na...
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.
Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata...
Wameanza kutest mitambo.
==============
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ili kumpa nafasi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa...
Umoja wa Wahadhiri wa Kiislamu Tanzania (UWAKTA) umesema utaendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa amani ili kuendelea kudumisha mshikamano ulioasisiwa na waasisi wa...
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na...
Kuna huu uzi nimesoma.
https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2
Nimeona jinsi baadhi ya wadau...
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021.
Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021.
Huyu...
Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao.
Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua...
Maadam Wewe mwenyewe umeamua kufukua makaburi, basi ni vema ukayafukua yote kuanzia ule Wizi wa kura kule Masaki na hujuma za Sumu
Tunafahamu Njama mliyomfanyia Lowassa kabla n.a. baada ya...
Wakuu,
Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini.
Kwa mujibu wa chapisho rasmi...
Wakuu habari?
Kumekuwa na minong’ono mingi mitaani na vijiweni kuhusu jina linaloendelea kuonekana kwenye teuzi mbalimbali za serikali – Dkt. Nyansaho. Wengi wanajiuliza: Ni nani huyu Dkt...
#HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana Watanzania kuilinda amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuonesha dunia kuwa yaliyokea Oktoba 29, 2025 hayatatokea tena.
Amesema yaliyotokea...
Unapokuwa Rais wa Nchi usiwe takataka, jiheshimu na ujilinde usiwe na doa chafu
Unapopewa dhamana kubwa ya mwisho katika nchi hutakiwi kufanya Mambo ya kijinga na ya kitoto maana inaweza kushusha...
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa?
Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania.
Leo kusema tu...