Katika kuboresha huduma za mifugo na kuiepusha dhidi ya magonjwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia matumizi ya jumla ya Shilingi Bilioni 5.9 kwa ajili ya ujenzi wa majosho 257 katika...
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye...
Ikumbukwe Chadema ilikuwa na Mgombea ubunge Kigoma mjini
Kadhalika ACT wazalendo walikuwa na Mgombea uRais mh Membe aliyekaribishwa chamani na Zitto Kabwe
Sasa nini kiliwafanya nguli hawa wa...
Kama huku ndio kufungua nchi!
Yaani Tozo mnazotoza wananchi, halafu mnakwenda kuzifisadi namna hii temesa
Kivuko kijengwe kwa Billion 8 na baadae kukarabati bilioni 7.5?
Halafu mnasema mama...
Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija...
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13...
Ndugu zangu watanzania,
Siasa Ni sayansi na ukikosea katika kanuni huwezi ukafanikiwa kupata jibu hata Kama utakesha usiku mzima unakokotoa, Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya...
Wajumbe nafikir wengi wetu tunaikumbuka ile article ya kinana
Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists | TheHill
Nimekutana na hii African Arguments
Tanzania cannot be...
MBOWE NA ZITTO KWANINI WAMEAMUA KUZIACHA HOJA ZA WANANCHI MIKUTANO YA HADHARA
Nimefuatilia mikutano ya hadhara ya Chadema na ACT Wazalendo sijawasikia Mbowe wala Zitto wakizungumzia au wakipaza...
Katika nchi yoyote Duniani yenye SERIKALI kila kinachotendeka ktk hiyo NCHI Serikali kupitia VYOMBO vyake LAZIMA IJUE na kama Kinahitaji Uchunguzi zaidi basi ni JUKUMU la hiyo Serikali kufanya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, Walid bin Talal Al Saudi ambaye ndiye tajiri mkubwa kabisa...
Mimi kila anachokisema huyu bwana huwa nakitupa kwenye dastubi[emoji706][emoji706]
Huyu mtu huwa simuamini hata chembe
Je, ni mimi mwenyewe?Huwa ni ngumu sana kumuamini huyu jamaa?
Kuna...
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana...
Kwa kuwa ni mara ya kwanza kuwa na rais mwanamke napendekeza kuwe na noti yenye picha ya rais wetu kipenzi Dr. Samia Hassan Sulluhu.
Ikumbukwe Mkapa , Kiwete na Magufuri hawakuweka picha zao.
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE.
KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO
Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi.
Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita.
Kiongozi mtaani nchini kwake.
Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu?
Siyo...
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.
Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe...
Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja.
Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia...
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Hamad Y. MASAUNI (Mb) amefanya ziara ya siku mbili kikazi Wilayani Kilosa, ambapo alipata nafasi ya kutembelea ujenzi wa Gereza la Wilaya hiyo, kuzungumza na...