Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
20 Reactions
49 Replies
3K Views
Hakika waswahili wanasema kuwa pembe la ng'ombe halifichiki. Mbunge wetu alituahidi mambo mengi mwaka 2020 ikiwemo kutuletea treni kutoka Marekani kwa marafiki zake. Kutuletea boti za uvuvi hasa...
20 Reactions
83 Replies
4K Views
Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia. Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Siasa siyo Uadui na Msema Ukweli'ni mpenzi wa Mungu hivi hapo Tunduma mbunge wa CCM ni nani? Kuna maeneo ubabe wa Shujaa Magufuli unajidhihirisha bila kutumia nguvu kubwa Niseme tu 2020 Shujaa...
4 Reactions
8 Replies
801 Views
Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kiukweli inaumiza sana wazee wa Nchi hii waliptumikia Nchi Kwa jasho na Kodi zao hawathaminiwi kabisa.. Sio sawa kwamba inaonekana Kuna ubaguzi mkubwa sana wa kijamii,kwamba Nchi...
1 Reactions
6 Replies
621 Views
Habari wana JF, Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo. Wanasisasa wa nchii...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa Chanzo: Jambo TV
9 Reactions
104 Replies
6K Views
Tanzania Bado ni nchi ya kikoloni!! Kama haupo kwenye cycle ya utawala utaendelea kutawaliwa TU!! Kila teuzi zinazotangazwa wanateuliwa wale wale ambao wamo kwenye uongozi na utawala miaka nenda...
2 Reactions
9 Replies
867 Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane...
0 Reactions
3 Replies
667 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa. Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba sasa vyama vya upinzani nchini.Vinaelekea kuchukua mkondo mpya wa kisiasa.kwa kubadili aina ya upatikanaji wa wanachama wa kujiunga na vyama vyao. Tulizowea kuona majukwaani...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanzilishi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameliambia gazeti la Nipashe online kuwa wenzake 19 waliuawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuawa huku akikamatwa mara 16...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…