Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu watanzania, Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na...
4 Reactions
67 Replies
3K Views
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
19 Reactions
632 Replies
57K Views
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025. Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni. Hata...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kiukweli Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuifungua nchi sasa Tanzania kuna amani ya kutosha ukilinganisha na miaka 5 iliyopita polisi...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Nawaasa wachaga wenzangu, Lema sio mtu ambaye ana roho za upendo kwa wana arusha, alikimbia nchi kwa kisingizio kuwa anataka kuuawa, shame on him, akuue nani wewe kesho sana sana hana...
3 Reactions
11 Replies
689 Views
Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini? Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama...
13 Reactions
78 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameendeleza sera yake ya kusema ukweli na kuwaanika wanafiki wote wanaotetea mafisadi badala ya kutetea masilahi ya wananchi. Rais Mwinyi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni...
1 Reactions
5 Replies
873 Views
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga. Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga. Baada ya angalau mbinyo wa kisiasa kupunguzwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mahakama moja nchini Ufaransa, imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa kupinga mradi wa Kampuni ya TotalEnergies wa uchimbaji na usafirishaji wa mafuta nchini Uganda na Tanzania. Kesi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili, kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari Wadau, Mjumbe wa CC ya CCM Stephen Wassira amesema hoja ya kuwa na Serikali ya Majimbo inayoshadidiwa na CHADEMA haina tija kwa sababu itaongeza gharaza za uendeshaji wa Serikali na kuwa...
2 Reactions
67 Replies
3K Views
Nimeshangazwa kama si kugutushwa na sababu ambazo Mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizotoa kwa reshuffle ya mwisho wa wiki iliyopita. Sababu kubwa inasemekana viongozi katika...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
1. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2. MHE. DKT. PHILIP ISDOR MPANGO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 3. MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI Rais wa...
7 Reactions
103 Replies
9K Views
Wakuu, Natanguliza Salamu na baada ya hapo naingia moja kwa moja kwenye hoja . Kama tulivyosema awali, mchana huu ni zamu ya Njombe Mjini ambako Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Mwamba mwenyewe...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasisitiza Wajumbe wa...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Naulizia tu kwa ndugu zetu wa Chadema ambao kwa sasa sera yao kuu ni mikutano ya hadhara Leo mko wapi? Mzee Mgaya anawasubiri Iringa
0 Reactions
8 Replies
623 Views
Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi...
0 Reactions
5 Replies
709 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…