Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wana jf, Diwani wa kata ya Ikunguigazi, iliyo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, ndugu Paulo Lutandula, ameshindwa uzalendo na kuamua kutumia maneno ya vitisho na chuki dhidi ya Mwalimu wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi. Wananchi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Haishangazi Mbowe kummiminia pongezi Rais Samia. Freeman Mbowe kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, Furahisha, Mwanza, alisema kuwa ameamua kujilipua mabomu kwa kumpongeza Rais Samia. Mbowe...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania. Narudi kuutafuta usingizi tena.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimeona Chadema na washirika wao ACT wazalendo mara kwa mara wakimtaka Rais Samia amwachie huru Freeman Mbowe eti kwa sababu kesi hiyo inaitia doa serikali ya awamu ya sita. Swali: Kwa mujibu wa...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Sote tunakumbuka katika mkutano wa kwanza wa tangu kuruhusiwa tena kwa mikutano ya kisiasa nchini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, alitumia muda mrefu sana kumshukuru na kumuongelea...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema...
30 Reactions
112 Replies
9K Views
Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu. Anyway Leo ndo nimemjua Rais tulienae. ---- KESI DHIDI YA FREEMAN MBOWE Kikeke...
36 Reactions
266 Replies
26K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano...
23 Reactions
215 Replies
32K Views
Viongozi waliokuwa wanaaminika, wazalendo na watetezi wa Watanzania sasa wamegeuka. Agenda kubwa si matatizo na changamoto zinazowakumba Watanzania, bali wanashindana kuonesha mabaya waliyotendewa...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
Kaandika hivi kupitia twitter: Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
16 Reactions
73 Replies
7K Views
Akijibu ombi la Mheshimiwa Zitto leo kuhusu ombi la kumwachilia Mbowe ili kuweka nchi kwenye mshikamano wa Kitaifa, Mh. Samia amesema kwanza afuate sheria pili awe na heshima. Tofauti na tuhuma...
38 Reactions
448 Replies
32K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi Punde , kwamba kuna msururu wa viongozi wa Kigeni , Viongozi wa Taasisi za Kimataifa pamoja na Mabalozi kadhaa ambao Wamejiandikisha kwenye kitabu cha...
23 Reactions
108 Replies
7K Views
na Kitila Mkumbo Mara baada ya kumaliza mitihani ya mwisho ya masomo yangu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam niliajiriwa hapohapo chuoni kama Afisa Tawala III tarehe 16 Juni 1999. Awali, ajira...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Hakuna shaka hata kidogo kuwa Taifa letu hili linahitaji mabadiliko makubwa ya kutengeneza mifumo itakayoishi na kudumu, kwa kuanzia na katiba mpya. Kwa Katiba yetu ya sasa, mtu mmoja aitwaye...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa...
22 Reactions
504 Replies
53K Views
Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Asema Meya Mstaafu,Bonifasi Jacob....Leo ni Siku yenye Furaha sana Kwangu*Huku Dar polisi Oysterbay wamenifutia Tuhuma za Ugaidi na Kupanga Vurugu baada ya Uchaguzi Mwaka Jana,Na Leo wamenikabidhi...
15 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…