Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March...
Ukitaka kulielewa hili vizuri angalia aina ya Wagombea wanaowaweka kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini angalia hata Mifumo yao ya Kampeni; Mrema anampigia...
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.
Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo...
Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo...
Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume.
Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina sifa na tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga.
Kinyonga anabadilika rangi kutokana na mazingira aliyopo lakini kamwe mwili wa kinyonga haubadiliki kuwa wa...
DC JOKATE AWATAKA WAHANDISI WA MAJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amewataka Wahandisi wa Maji Wilayani Korogwe kutatua changamoto za maji...
Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna...
Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui...
Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama...
Na Bwanku M Bwanku
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani...
Kauli nzito sana hii
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amesema Katika kumsaidia Rais Samia wao hawatakuwa Chawa
Mbowe amesema wao Watasema kweli Daima, Watanyoosha na hawatakuwa Wanafiki
Source...
Maridhiano ya CCM na CHADEMA hayajakubalika na wote ndani ya vyama hivyo viwili. Rais Samia amekiri na kuwaita watu wanaoyapinga maridhiana hayo ndani ya chama chake na CHADEMA pia kama...
Katika mahojiano ya Watangazaji nguli wa BBC Zawadi Machibya na Ezekiel Kamwaga imeelezwa kuwa Rais Samia ana nafasi kubwa ya kushinda 2025
Ezekiel amesema hata kama Rais Samia hatakuwa mgombea...
Asubuhi nyingine tena hii. Niwasalimu kwa la Jamhuri ya Muungano..Tuseme kwa pamoja kazi iendelee (Sidhani kama kuna kazi inaendelea)
Tumshukuru Mungu kwa Siku nyingine Tena, najua dhahiri katupa...
"Mheshimiwa Rais Samia Wewe, Serikali yako pamoja na Chama chako cha CCM mlipaswa mtuombe Radhi Watanzania kwa kutupitisha katika Kipindi kigumu huku Wengine tukiumizwa zaidi. Rai yangu Kwenu CCM...
Kuna taasisi watu wanakula pesa hata kazi wanayoifanya ni usanii tu na kuwaongezea mzigo wananchi wewe mwana JamiiForums siku ukiwa Rais wa Tanzania uneofuta ipi hapa maana kero zimezidi watu wapo...
Shujaa mashuhuri na kiongozi wa kijeshi na wa kisiasa nchini Ufaransa baada ya mapinduzi ya Kifaransa ,Napoleon Bonapatre aliwahi kutamka maneno haya;
"The world suffers a lot. Not because the...
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba
Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo...