Rais Samia atajwa Kwenye Kumi Bora ya Forbes Kwa Wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Habari zenu..

Jarida la Forbes linalochapisha masuala makubwa Duniani,Limemtaja Rais wa Tanzania Dr.Samia kuwa Miongoni mwa wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani.

Katika toleo lake la mwaka 2022,Dr.Samia Yuko Kumi Bora.Hii sio tuu kwamba inampa sifa binafsi Rais Wetu Bali inaipa Nchi fursa ya kufuatilia zaidi na sauti kwenye nyanja za Diplomasia na Biashara hivyo kuongezeka Kwa ushawishi wa Rais Samia ni royal tour nyingine..

Hongera sana kwake na hongera Kwa
Tanzania,unastahili zaidi..

Elon Musk anasema ukiona mtu anaamini Media, anategemea media imwambie kipi kizuri ama kipi kibaya, yupi mzuri yupi mbaya, yupi bora yupi sio bora ujue huyo hana akili kabisa.

Sasa sisi watanzania tutegemee kweli Forbes watuambie Samia ni rais bora kwamba hatuoni wenyewe kama ni bora ama sio bora.

Ama tukubaliane na Elon kwamba ikiona jamii ama watu wa aina hiyo ujue ni mataahira?
 
Kwani Elon musk ndio anajua kipi kizuri au kipi sio kizuri? Hana akili yule.
 
Habari zenu..

Jarida la Forbes linalochapisha masuala makubwa Duniani,Limemtaja Rais wa Tanzania Dr.Samia kuwa Miongoni mwa wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani.

Katika toleo lake la mwaka 2022,Dr.Samia Yuko Kumi Bora.Hii sio tuu kwamba inampa sifa binafsi Rais Wetu Bali inaipa Nchi fursa ya kufuatilia zaidi na sauti kwenye nyanja za Diplomasia na Biashara hivyo kuongezeka Kwa ushawishi wa Rais Samia ni royal tour nyingine..

Hongera sana kwake na hongera Kwa
Tanzania,unastahili zaidi..

Sijawahi kupenda mwana siasa yoyote wa Africa akiwemo hata Nyerere hasa wa CCM, ila huyu Mama nampenda sanaaa na sijui kwanini.
 
Samia anastahili
Ametupa uhakika kuwa tukilala asubuhi tutaamka salama majumban mwetu bila wasiojulikana kutuua..
Ametupa Uhuru wa kutumia bando za simu
Ametupa Uhuru wa kumsema vibaya

Kwa kifupi SAMIA anaelewa nin maana ya kuwa rais wa watu wenye mitizamo tofauti
 
Habari zenu..

Jarida la Forbes linalochapisha masuala makubwa Duniani,Limemtaja Rais wa Tanzania Dr.Samia kuwa Miongoni mwa wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani.

Katika toleo lake la mwaka 2022,Dr.Samia Yuko Kumi Bora.Hii sio tuu kwamba inampa sifa binafsi Rais Wetu Bali inaipa Nchi fursa ya kufuatilia zaidi na sauti kwenye nyanja za Diplomasia na Biashara hivyo kuongezeka Kwa ushawishi wa Rais Samia ni royal tour nyingine..

Hongera sana kwake na hongera Kwa
Tanzania,unastahili zaidi..

Kumi ( 10 ) Bora ya Forbes huku 85% ya Wananchi wako Wanalia Njaa, wana Maisha Magumu na hawana Matumaini ya Ustawi Wao wa Kesho Kimaisha inasaidia nini?

Hebu sometimes jifunzeni basi hata tu Kuficha Upopoma / Upumbavu Wenu uliowatukuka kwani Mnaboa sana kwa Kujikomba na Kusifu Kipuuzi.

Naulaumu mno Ugonjwa wa UVIKO-19 / COVID-19 kwamba kwanini haukuondoka na Wapumbavu tunaowaona na tunaowajibu Upumbavu wao Mitandaoni.
 
yaani chanzo cha habari yako ni Haki ngowi? mmoja wa machawa?
 
Sijui wakitafuta hizo Takwimu kwa hapa Tanzania atashika nafasi ya ngapi ?

Anyway atumie ushawishi wake kumshawishi Makamba awajibike tutoke gizani na kuwashawishi walamba asali waache; hata mbuzi huwa anashiba......
 
Kumi ( 10 ) Bora ya Forbes huku 85% ya Wananchi wako Wanalia Njaa, wana Maisha Magumu na hawana Matumaini ya Ustawi Wao wa Kesho Kimaisha inasaidia nini?

Hebu sometimes jifunzeni basi hata tu Kuficha Upopoma / Upumbavu Wenu uliowatukuka kwani Mnaboa sana kwa Kujikomba na Kusifu Kipuuzi.

Naulaumu mno Ugonjwa wa UVIKO-19 / COVID-19 kwamba kwanini haukuondoka na Wapumbavu tunaowaona na tunaowajibu Upumbavu wao Mitandaoni.
Njaa gani? Unaweza tuonesha wanaolia njaa au kulala na njaa?
 
Back
Top Bottom