Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea...
37 Reactions
265 Replies
10K Views
Hii ni dunia ya Michongo na Connection nje ya hapo wewe unaonekana fala na mshamba Ndio Ukraine wakaendekeza Michongo wakamchagua Comedian na sasa anawakomesha kwa kulisambaratisha hilo taifa...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
RAIS KIKWETE NA MJUMBE WA NEC CCM TAIFA EDWARD LOWASSA SASA NI WAKATI MWAFAKA MJIUZULU MARA MOJA KUPISHA UCHUNGUZI WA TUME HURU KUWATAKATISHENI MAJINA MBELE YA UMMA NA JUMUIYA YA KI-MATAIFA...
4 Reactions
332 Replies
32K Views
HAYA YANATOKEA UTAWALA WA MH RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE? AU ANAHUJUMIWA TU? Kawatia ndani UAMSHO.(hawa ni masheikh) tunaowasikia wakitoa mawaidha mbali mbali katika redio za kiislam Kamtia...
2 Reactions
178 Replies
21K Views
Wanabodi, Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili...
39 Reactions
161 Replies
29K Views
Tukirejea nyuma katika mafundisho ya nabii Muhammad (s.a.w), tutakutana na hadithi zake mbalimbali na miongoni mwa hadithi zake ipo ambayo aliwaambia wanafunzi wake njia sahihi za kumjua mnafiki...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Video Footage kwa hisani ya Millard Ayo wa AYO TV. (Full HD) Wanabodi, Swali. Hii ni mada ya swali, Jee hii kauli ya rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ya kusitisha uzazi wa mpango...
19 Reactions
123 Replies
18K Views
Wanabodi, Rais Magufuli ni rais wetu, japo rais halazimishwi kufuata ushauri wowote kutoka kwa yeyote, kwa mujibu wa ibara hii ya katiba yetu, " 37.-(1) Apart from complying with the provisions...
4 Reactions
174 Replies
24K Views
Wanabodi, Tuliwahi kusema humu, Tanzania inachohitaji sio a one man show, bali tunahitaji mifumo imara na thabiti, yaani an effective system. Ukiishakuwa na mfumo imara, na thabiti, kila kitu...
130 Reactions
815 Replies
91K Views
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu...
109 Reactions
1K Replies
146K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu (Comptroller of State House -...
2 Reactions
163 Replies
94K Views
Tarehe 17/03/2023 ni siku ambayo familia ya hayati Magufuli itakuwa inaadhimisha miaka miwili ya kifo cha mpendwa wao, na kama kawaida mara nyingi familia hiyo hufanya tukio hilo hapo Chato...
47 Reactions
280 Replies
13K Views
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini. Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu...
20 Reactions
430 Replies
32K Views
Nikumbukumbu ya siku mbaya sana hii kwenye maisha yangu na kwa waTanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao na sitaisahau. Mtanzania yoyote mwenye akili na mzalendo anaelewa maumivu ya...
1 Reactions
10 Replies
890 Views
Wanabodi, Naomba tutazame kidogo nakala niliyo chapisha mara ya mwisho inayohusu mbinu kuu inayotumiwa na chama tawala (CCM) kubaki madarakani. Lazima tukubaliane kwamba kama CCM ina ushawishi...
1 Reactions
6 Replies
732 Views
Nipende kuchukua fursa hii kuwatakia nyote heri ya siku ya Magufuli. Tuendelee kuwa wazalendo, Tuchape kazi kwa maendeleo na manufaa ya taifa letu huku daima tukimtanguliza Mungu. Tuendelee...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha...
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Rais Samia kawashika pabaya Walamba Asali wa Mwendazake shikilia hapo hapo mama hadi waombe poo! Hawa team mwendazake wamegeuka eti watetezi wa haki za binadam na demokrasia wanadhani tumewasahau...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyie wafuasi wa huyo marehemu mmezingua sana kama mnapenda mwendazake wenu kwanini msingezikwa nae? Kwanini mligoma kuzikwa nae?Kwanini mmemuacha mwenyewe?Yaani sahivi yupo huko kuzimu peke yake...
1 Reactions
15 Replies
775 Views
Furahisha Chadema na mwenyekiti Mbowe walipigwa kitu kizito. Watu wa Mwanza wana uelewa mpana na wanajitambua! Pamoja na Godbless Lema kubadili na kwenda kufanyia mkutano mtaani kwenye njia...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…