Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BRUCE LEE, Jan 26, 2011.

 1. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Tukirejea nyuma katika mafundisho ya nabii Muhammad (s.a.w), tutakutana na hadithi zake mbalimbali na miongoni mwa hadithi zake ipo ambayo aliwaambia wanafunzi wake njia sahihi za kumjua mnafiki. [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Mtume huyo alisema kuwa alama za mnafiki ni tatu, na utamjua tu pindi utakapomuona mtu mwenye alama hizo na tabia hizo tatu ambazo mtume huyo alizitaja kama ifuatavyo.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot](a).alama ya kwanza ya mnafiki ni kwamba akiahidi hatimizi ahadi zake,[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Mtume Muhammad(S.a.w) alisema ya kwamba tabia kubwa ya mnafiki mara zote huwa ni mwepesi sana wa kutoa ahadi lakini mara zote huwa hatimizi ahadi zake.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  [FONT=&quot]swali, mkwere katoa ahadi ngapi na ngapi kazitimiza? [/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Tumekuwa tukiahidiwa ahadi nyingi sana ambazo husahaulika muda mfupi tu baada ya kampeni na watu kupata madaraka.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot](b). alama ya pili ya mnafiki ni kwamba, anapoongea mara nyingi huongea uongo[/FONT][FONT=&quot],[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] kwa mujibu wa hadithi hiyo ya mtume ni kwamba Mnafiki huwa hana kauli thabiti maishani na pia yupo tayari kuongea uongo ili aweze kufanikiwa kutekeleza azma yake na kupata kile anachohitaji bila kujali huo uongo wake utakuwa na madhara gani kwa jamii. je mkwere kaongea ukweli gani kuhusu malipo ya dowans na pia yeye anamaslahi gani??[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ukweli unabaki palepale viongozi wetu wengi wao wameingia madarakani kwa kutumia kauli za uongo na pia wamekuwa na tabia ya kuongea uongo kila siku ili waweze kudumu katika madaraka yao bila kujali uongo huo utakuwa na madhara gani kwa watu wanao waongoza.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot](c ).pia alama ya tatu ya mnafiki kama alivyofundisha mtume huyo katika mafundisho yake ni kwamba, mnafiki akiaminiwa hufanya hiana kwa wale waliomuamini[/FONT][FONT=&quot], [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]hivyo basi alama hii ya tatu inatufundisha kuwa mnafiki ni si mtu muaminifu na wala hastahili kuaminiwa kwa vile ni muongo na pia huwa hatimizi ahadi zake.[/FONT][FONT=&quot] [/FONT]

  [FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] Waislam lazima watambue na kuheshimu kauli za mtume wao na bila shaka kutokana na sifa hizo wana kila sababu ya kumkemea mkwere na kumuonya kwani kadhihirisha kua ni mnafii na msaliti mkubwa.[/FONT]
  [FONT=&quot]nawasilisha.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Samahanini nimekosea njia nlikuwa nadhani naingia church kumbe hakunihusu.sorry.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli huyu jamaa ni moto tu unamsubiri
   
 4. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, wewe unamtambua?. Kama unamtambua je, umesilimu? Na je, una mtume mwingine zaidi ya huyo?
  Kwanza ukiri kumtambua kama ni mtume aliyekuja kwa "walimwengu wote". Si kwa wayahudi pekee au wafilipino n.k.
  Pili uwakunshe na kuwashuhudia UNAFIKI wale walioshangaa polisi kuua raia Arusha lakini wakasherehekea polisi kuua raia Pemba na Mwembechai.
  Then baada ya hapo uje jamvini tuongee na kujadili maneno yenye Hekima ya mtukufu wa Daraja.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usisahau kuwa amefundisha kuwa "Usimdhanie mwenzako mambo mabay ambyo huna uhakika navyo"

  Unahitaji ku-proof kwanini ahahdi haikutekelezwa, je kuna sababu za msingi?
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  kama kashindwa kutekeleza ahadi zake kwa nini aliahidi?? Ukweli unabaki palepale kikwete ni mnafiki na wala hafanani kabisa na imani ya dini yake huyo huyo mtume s.a.w alisema kua al islam nadhif, fata dhwafuu, wa inal la yadkhul jjana illa nadhwifu, akimaanisha uislam ni usafi na pia hakuna mchafu yeyote atakae ingia peponi ila msafi wa roho na matendo, je mkwere ni msafi?hapendi visasi? Hana kejeli na dharau?
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tujilaumu wenyewe sisis waislam kwa kumpigia kampeni misikitini
   
 8. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  kweli ndugu yangu,hapo waislam tulichemsha.
   
 9. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  nahisi wewe ni bulldozer la plastic maana halina mashiko kabisa!! tatizo lenu mujahidina mkishalishwa sumu haitoki kwa maziwa yoyote. Suala la hao unaowasema mbona limeshajibiwa humu JF? Great thinkers huwa hawasahau ishu sensitive kama hizo.Mfano ulitolewa kwamba magazeti mengi ya tarehe 8/2/2001 kama vile Majira yaliandika juu ya kauli za hao unaowalenga walipolaani mauaji ya Pemba ila bado hutaki kuelewa!!! wake up!!! sina la kukusaidia maana ni asili yenu kwamba ham'bebeki wala hamsaidiki zaidi ya kulaumu tu!!!
   
 10. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  tunajuta sio kidogo tena sana sana sana sana!!! kuna redio inayoitwa imam ya Morogoro wao mpaka kesho ni kampeni kwa Kikwete as if hakuna Rais bora kama huyu africa!!! empty stomach=empty mind
   
 11. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  hao redio imam, ina maana hawa uoni unafiki na ufisadi wa kikwete? Kweli ni bora kua maskini wa mali kuliko wa akili.
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,749
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  Bruce Lee,

  ..mimi nashangaa Waislamu wanavyoiunga mkono CCM, wakati serikali yake inahusika na mauaji ya Waislamu Pemba na Mwembechai.

  ..Waislamu wanalalamika kwamba Pius Msekwa alikataa kuunda kamati ya Bunge kuchunguza mauaji ya Mwembechai. sasa hivi Msekwa ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM.

  ..Mkapa aliyekuwa amiri jeshi wakati wa mauaji ya Mwembechai ndiye aliyefunga kampeni za CCM pale Jangwani. tena alifurumusha maneno machafu-machafu. sasa wapinga mauaji ya Mwembechai wanajisikiaje wanapopigia kura CCM?

  ..CCM walitoa kauli gani kuhusu mauaji ya Mwembechai na Pemba? walionyesha hali yoyote ile ya kusikitika? je, walitubu kwa namna yeyote ile kutokana na udhalimu wa serikali yake?

  ..je, kwa kumsimamisha mgombea Muislamu, CCM imejisafisha na kashfa ya mauaji ya Mwembechai?
   
 13. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  hao redio imam, ina maana hawa uoni unafiki na ufisadi wa kikwete? Kweli ni bora kua maskini wa mali kuliko wa akili.
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwani maaskofu/wakristo wanaoiunga chadema walitoa kauli yoyote kuhusu mwembecahi killings...hivyo chadema na CCM hakuna tofauti waislam have to choose better evil

  Uchague padre aliyetakaswa na maaskofu kanisani au ccm na mgombea muislam

  Mimi kama muislam naona bora ccm na mgombea muislam, kwakuwa hata kama hatusaidii lakini hatadhuru kwa kutuua

  Padre angetuua tu kama alivyofanya Mkapa kwa maaigizo ya maaskofu ..upo???
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unafiki ni dhana tu, unahitaji ku-prove
   
 16. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  topical, then prove kama mkwere sio mnafiki, we unajua maana ya ku prove?au unaandika tu kwa vile unamikono, huo ni ujinga na umaskini wa mawazo, ina maana we unamuona mkwere ni msafi? Acha unafiki.
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,749
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  Topical,

  ..hata Muislamu anaweza kuua Waislamu wenzake.

  ..umesahau mauaji ya Kilombero yaliyotokea wakati wa Mzee Ruksa?

  ..umesahau virungu vilivyotembezwa Znz wakati wa maandamano ya kupinga kauli ya Sofia Kawawa?

  ..pia alikuwepo Prof.Lipumba ambaye ni Muislamu na hajahusika na hujuma zozote dhidi ya Waislamu.

  ..mimi nadhani Mashekhe wanaleta siasa kwenye suala zito ambalo limehusisha kupotea kwa maisha ya Waislamu.
   
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,749
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  Topical,

  ..ina maana Mashekhe wanasubiri CCM wasimamishe mgombea Mkristo ndipo waanze kuiandama/kuishutumu kuhusu mauaji ya Mwembechai?
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu gani anajifanya hajui lolote linaloendelea leo wakati wananchi wana shida lukuki na hana jibu wala msaada wowote. Hakuna mtu anayemsema kwasababu ya dini yake....anasemwa kwasababu ya kukosa leadership and political skills za kuweza kutuongoza watu wake. Na hili hana namna ya kulikwepa kama hatabadilika
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Hili train la udini kuna watu wanaojifanya wakereketwa wamelidandia kwa mbele bila kuwa na facts.Na ndio hapo sasa wanapochemsha
   
Loading...