Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera.

Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana kuchukizwa na tukio hill na kuiomba Serikali na vyombo vya ulinzi kuchua hatua za haraka kubaini wote waliohusika.

NB.Serikali isipoingilia kati na kutatua hii migogoro ya wawekezaji na wananchi, watu watazidi kupoteza maisha.

Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa lunch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera.

Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana kuchukizwa na tukio hill na kuiomba Serikali na vyombo vya ulinzi kuchua hatua za haraka kubaini wote waliohusika.

NB.Serikali isipoingilia kati na kutatua hii migogoro ya wawekezaji na wananchi, watu watazidi kupoteza maisha.

View attachment 2554132
Mwizi hana chama
 
Back
Top Bottom