Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi. Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue...
27 Reactions
79 Replies
5K Views
Zito Kabwe ameishauri Serikali ikate Asilimia 20% ya Michango ya Waajira/Watumishi wa Sekta binafsi na WA Umma ya Kila Mwezi inayopelekwa nssf na psssf Ili itumike kupata Bima ya Afya badala ya...
0 Reactions
5 Replies
864 Views
Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande...
2 Reactions
4 Replies
766 Views
Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha. Baadhi ya mambo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi...
11 Reactions
92 Replies
4K Views
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya. Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake. Hata Tundu Lissu akiingia...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila goli ambalo Taifa Stars itafunga katika michuano ya kufuzu fainali ya michuano ya AFCON inayoendelea. Taarifa...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika...
2 Reactions
124 Replies
7K Views
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetoa pasipoti za kieletroniki 193,645 katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza jijini Dares Salaam, Ofisa Habari wa Idara hiyo...
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Tunawaona wao tu na vibegi viwili viwili kila mmoja. Wakisema wamerudi nyumbani. Lakini cha kushangaza jamii ni pale ambapo hatuwaoni na wakiandamana sambamba na Familia zao. Hatuwaoni wakiwa na...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati wa Chama kimoja mgombea Urais alikuwa ni mmoja tu na tulimpigia kura ya " Ndiyo" kumkubali au " Hapana" kumkataa. Ndio nauliza ile ilikuwa ni Demokrasia Iliyokomaa au ni Udikteta? Ramadan...
2 Reactions
62 Replies
2K Views
Dr. Slaa ambaye aliteuliwa na Dr. Magufuli kuwa Balozi na ambaye sasa amestaafu, amejitokeza hadharani kuipinga kamati ya haki Jinai huku akiitupia lawama serikali kwamba inawacheza shere wananchi...
32 Reactions
112 Replies
7K Views
Wakuu, Huu ni ukweli kuwa CCM mwaka huu wametia aibu kuliko tulivyozoea. Yaani matukio yafuatayo kwa mgombea pombe na wengine ndo yanathibitisha pigo la CCM kutojiamini na tutafuta njia ya kuwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna kitu mpaka sasaivi bado kinanichanganya na naomba wana JF mnisaidie kwa hili.. Olduvai Gorge has been strongly associated with human origins according to the History, na kwamba...
0 Reactions
131 Replies
26K Views
Mbunge wa Sengerema Hamis Tabasamu akieleza mafanikio ya miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita amesema wanajivunia miradi ya kimkakati inayoendelezwa Mwanza na kusema walioibuka na kusema kuna...
1 Reactions
9 Replies
941 Views
Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi. Nakumbuka...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…