Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana...
2 Reactions
11 Replies
890 Views
Ilikuwa hivyo tokea mwaka 2010. Kata haiunganishi matokeo ya Raisi Wala ubunge.
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli imekuwa ya machungu na kilio kwa Watanzania wengi. Maisha ya mwananchi wa nchi iliyowekwa kwenye kundi la uchumi wa kati yamezidi kuwa ya...
18 Reactions
71 Replies
5K Views
LIVE: PROF.KITILA MKUMBO ANAHITIMISHA KAMPENI JIMBO LA UBUNGO
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbeya Majimbo ya mbarali, Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela Kigoma Majimbo karibia yote ni ACT Wazalendo na CHADEMA Dar es Salaam Majimbo yote kuna upinzani Zanzibar Mikoa yote ni...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Wewe unaye shinda humu, unashinda Facebook, Twitter na Instagram kushabikia CCM ilihali Ndugu zako hasa wazazi wako kule kijijini wanateseka kwa umasikini unao sababishwa na CCM. Mfumo wa Elimu...
0 Reactions
5 Replies
793 Views
"Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati imekuwa kali hivi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Watanzania wote waliotimiza vigezo kwa mujibu wa sheria, wanatarajia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Hatua hii muhimu imefikiwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
40 Reactions
289 Replies
27K Views
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Sina hakika kama ni maombi ya Watanzania au ni mapenzi ya Mungu tu, bali kikubwa kuliko yote ni kwamba mwisho wa CCM umefika rasmi baada ya wananchi kuikataa...
70 Reactions
143 Replies
12K Views
Jumatano ya tarehe 28 Oktoba Watanzania tuna nafasi ambayo binafsi naamini kwa wengi wetu wa kizazi hiku hatutapata tena. Ni nafasi ya mara moja katika maisha ya wengi wetu ya kufanya maamuzi sio...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati Watanzania wakijiandaa kushiriki Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 28, 2020, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres ametoa wito mchakato huo ufanyike kwa amani Guterres amehimiza Viongozi wa Vyama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wiki ijayo tarehe 28/10 watanzania wote tunaenda kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani Jambo moja ambalo kila mmoja anapaswa alitambue ni kwamba kura yako ni siri yako. Maana yake ni...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Timu ya watazamaji kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yenye waangalizi 59 imewasili nchini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nini hatima ya uchaguzi wa mwaka huu? Mwaka 2015 CHADEMA walikuwa wakisema wakiingia madarakani, watafufua Shirika la ATC, watafanya shule bure, n.k. Magufuli ameyafanya hayo, na zaidi. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano. Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa...
70 Reactions
200 Replies
15K Views
Wanawake wa Kawe wameapa kulinda heshima ya Kawe kwa kutoruhusu hilo jimbo kuangukia mikononi mwa tapeli wa kimataifa aliyejivika ngozi ya udini. Wamemhakikishia Mwenyekiti wao wa Taifa, Mhe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza. Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani...
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Back
Top Bottom