Hii ni kwa wale wazee wenzangu ambao enzi zetu auditor alionekana kama askari polisi au ametumwa kutafuta mwizi
Kuna wakati huwa nacheka ofisi haina Controls zozote za pesa miaka nenda rudi...
Dar es Salaam. Ikiwa imepita takribani miaka mitatu tangu mifuko ya plastiki ipigwe marufuku, kumeibuka aina nyingine ya mifuko ya rangi ya bluu.
Awali mifuko laini isiyokuwa na rangi ndiyo...
ACT Wazalendo wamesema CAG amedhihirisha kuwa waziri Mbarawa amelidanganya Bunge baada ya kuonyesha hakuna barabara iliyojengwa katika maeneo ambavyo Mbarawa alisema bungeni kwamba wamejenga...
Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu...
Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu.
Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu...
Hatua za ukusanyaji taarifa, uchakataji, uandaaji na uwasilishaji wa ripoti ya CAG NI hizi zifuatazo;
1. CAG kila mwaka wa Fedha kupitia mpango kazi wake ufanya ukaguzi WA kawaida na ukaguzi...
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, nanukuu, "Usishindane na aliyejaaliwa," mwisho wa kunukuu.
Freeman Mbowe ni mtu aliyejaaliwa karama ya kupendwa, hili wahafidhina mnatakiwa mlijue, mtake...
Wadau habari za easter,
Leo naandika kiufupi kabisa kuna siku nitaleta mzigo mzima humu.
Naomba niongee na vijana umri wa miaka 18-30, kundi hili halijachelewa kuamua ni wakati mzuri wa kuwa na...
Kuuliza wala siyo ujinga wana JF.
Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini.
Maana tuliambiwa havikuwa na...
Mh Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Hesabu za ATCL zinaonyesha Shirima hilo linapata hasara kubwa kwa sababu tu ndege zinamilikiwa na Wakala wa Ndege za Serikal na hivyo Serikal kulipwa fedha...
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema kwa mujibu wa kanuni, Ripoti ya CAG iliyowasilishwa bungeni itaanza kushughulikia na PAC mwezi August na majibu yatapelekwa Bungeni mwakani 2024.
Hivyo...
Kwanza Mhe. Spika Tulia nakutakia Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka.
Kama ikikupendeza tufanyie wepesi hayo mahojiano ya Kamati za Bunge na Watuhumiwa wa Ripoti ya CAG yafanyike mubashara...
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa...
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa...
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku.
Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania...
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG...
Tumeona mpaka gazeti la mwananchi wameingia kwenye upuuzi wa kuandika habari zisizo na ukweli wowote kuhusu Chato, hospital ya Kanda ya Chato imekuwa msaada mkubwa Kwa wananchi wa Kanda ya ziwa...
Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia...