Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Hii Vita itakuwa kama ya Israel na Palestina. Kila Mtu anadai Tanga ni ardhi yake. Wakulima wa Tanga wanadai Wafugaji ndo wamewafuata. Na Wafugaji wanadai Serikali ndo iliwaelekeza Wapeleke...
1 Reactions
2 Replies
136 Views
Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu.. Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba...
3 Reactions
2 Replies
107 Views
Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na...
6 Reactions
57 Replies
878 Views
Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania. Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa...
4 Reactions
3 Replies
83 Views
  • Redirect
Mtasubiri sana kujiuzulu Kwa hiari Nani Yuko tayari kubebeshwa lawama zote za mauaji ? Nani Yuko tayari kujikabidhi Icc PEKEE yake ? Utakuwa usaliti Kwa kundi lote na mtandao na washauri wake...
1 Reactions
– Replies
– Views
Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented. Na unajua madhara ya kua documented? Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa...
3 Reactions
8 Replies
202 Views
Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu. Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi. Nashawishika...
0 Reactions
6 Replies
86 Views
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 4.2 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo kwa Mwaka wa Fedha wa 2026/2027. Akiwasilisha...
0 Reactions
7 Replies
361 Views
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa! Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo]. Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo]. Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana...
73 Reactions
99 Replies
2K Views
Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliofanyika Leo...
2 Reactions
5 Replies
192 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...
1 Reactions
2 Replies
190 Views
Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb...
2 Reactions
4 Replies
231 Views
Kutokana na ushahidi wa kina, Tume ilibaini kuwa ghasia zilikuwa na athari pana za kiuchumi na kijamii. Matokeo yalisisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya majadiliano ya kisiasa na kijamii...
1 Reactions
2 Replies
156 Views
Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
12 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Redirect
LUCY KOMBA AOMBA MSAMAHA KUHAMASISHA MAANDAMANO Badala ya kumkebehi au kumdharau kwa kujishusha na kuomba msamaha, tujifunze kwamba kuomba msamaha ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji. Pia...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka...
4 Reactions
36 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…