Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka jana 2025 alisimama bungeni kuitangazia Dunia kuwa Samia amemmwagia mabilioni kedekede kwaajili ya ujenzi wa barabara nk, kwahio (hamdai Samia) mbunge huyo huyo jana 21 Mei, 2026 kasimama...
2 Reactions
10 Replies
239 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na...
3 Reactions
5 Replies
291 Views
Ndugu zangu watanzania, Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakili Peter Madeleka amesema amesema "Taifa limekwama kabisa katika namna ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Mkwamo ni kwamba... mkwamo unasababishwa na uongozi mbovu. Kwa sababu ili...
10 Reactions
32 Replies
570 Views
Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu...
1 Reactions
2 Replies
146 Views
Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya...
1 Reactions
34 Replies
532 Views
  • Redirect
Adai Yeye atagombea Urais 2030 na kipaumbele Chake ni Kutokomeza Rushwa. Huyu ni Bilionea, ambaye anaumizwa na Rushwa. Unfortunately tunaye mwanamke wa kizanzibar, Yéye anawaambia Wala Rushwa...
2 Reactions
Replies
Views
Ni wazi sasa kiongozi wa watekaji anaitwa Mafwete ambaye ni Polisi na yeye ndiye aliyeenda kumchukua Polepole eti leo anasema anafanya msako wa kutafuta na kubaini walio mshambulia msaidizi wa...
8 Reactions
14 Replies
417 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12. Picha hii imeboreshwa na...
7 Reactions
33 Replies
862 Views
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena. Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia...
1 Reactions
40 Replies
752 Views
Kwahiyo kwa leo kwa hili la Jumbe confirmed watekaji wamejulikana. Chapter closed. Twende tukalime
5 Reactions
14 Replies
369 Views
Maana mivutano ni mkali sana ndani ya Chadema taifa kwasasa baina ya wanaotaka Lissu atoke korokoroni dhidi ya wale wanaotaka Lissu aendelee kusota korokoroni. Je, unadhani vita hii inalenga...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Ni drama iliyopikwa na watu wasio wazoefu katika kucheat, lakini pia the main character ni kama vile hakufanya rehearsal vizuri au hafundishiki, na ilimuwia vigumu sana kuact kama alivyoelekezwa...
2 Reactions
46 Replies
849 Views
Na Dr. Zack,Zanzibar Hivi karibuni, ulimwengu umeshuhudia hatua ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (State Department) kumtangaza Kamanda Faustine Jackson Mafwele, Afisa Mwandamizi wa Jeshi la...
0 Reactions
11 Replies
197 Views
  • Featured
Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Wasikilize washajitoa mhanga! Hiki si kiashiria kizuri. Mtaua wangapi?
18 Reactions
57 Replies
1K Views
Tumekubali Polepole alikua na makosa lakini solution ikawa ni kumteka na kumpoteza? Sote tunajua Polepole alikua anagusa...
3 Reactions
2 Replies
113 Views
Katiba ya sasa haifai maana ilitungwa na WanaCCM 22 na haiwapi wananchi madaraka juu ya taifa lao baada ya uchaguzi. Taifa letu linatakiwq liwe na katiba ambayo itawapa mamlaka wananchi kumfuta...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Ndani ya hii audio clip kuna mambo kadhaa yanayotoa picha kubwa ya kile kinachoendelea na kukemewa nchini Tanzania. Kwanza, na kwa umuhimu mkubwa zaidi, Mafwele amekiri wazi kwamba yeye ndiye...
22 Reactions
67 Replies
3K Views
Viongozi wangu wa Chadema tunaomba ikiwezekana kwenye mikutano mtuwekee nyimbo za kuhamasisha ukombozi wa nchi yetu. Nyimbo zinahamasisha sana sana. Kumbuka Afrika Kusini pamoja na kuwaua watu...
0 Reactions
3 Replies
71 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…