David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,439
Reaction score
42,120
Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto.

Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam.

Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka, wamesema wameliona likiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni.

=====

IMG_4513.jpeg

View: https://www.instagram.com/p/DYkyDomueV1/?igsh=cTBocm1sa2g1M2Z0

======================

Hili ni onyo la awali kwa mamlaka za Tanzania.

Kwa ilipofikia Chadema Kwa sasa kitendo chochote cha kuua viongozi wake hakitanyamaziwa na haraka sana kisasi kitalipwa pakubwa

Jumbe, Mtu Mwema na Mtulivu, ambaye ni msaidizi wa Lissu ametekwa n.a. maofisa usalama Kwa lengo la kumuua, baada ya kutoa siri ya Lissu kulishwa sumu gerezani, hili jambo litavuruga Armani ya Nchi

Soma Pia: Tetesi: - David Djumbe Msaidizi Wa Tundu Lissu Ametekwa
 
Kumbuka ulivyotuaminisha kijana wa IFM aliyekatwa kichwa, ngoja tusubiri taarifa ya genuine person yeyote ili tukemee kama itakuwa ni serikali. Maana huwa una mihemko sana!
 
Majahili wa utawala haramu wa Samia na vyombo vya serikali isiyo halali ya chama dola kongwe wanaendeleza udhalimu wao mithili ya hadithi za Nduli Idi Amin Dada alivyokuwa akikamata raia kutokana na uoga wa jinamizi la mithili ya the ICC The Hague aliopata akiwa anaota kila usiku
 
Vita gani bwege wewe,vita itoke wapi na kwasababu gani?
Unaijua vita wewe au unaandika ushuzi tu hapa
Ninakubaliana na wewe, Tanzania kamwe hatuwezi kuwa na vita kati yetu kwa sababu ya mtu duni, mwovu kabisa kama Samia Suluhu Hassan.

Lililowazi ni kuwa mwovu huyu wakati wake wa kuwajibishwa sasa umetimia.

Hakuna tena sababu ya damu ya waTanzania kumwagika kwa sababu ya mtu wa hovyo kama huyu.
 
Back
Top Bottom