Wahenga walisema UKISTAAJABU ya Mussa UTAYAONA ya FIrauni. KUMBE Huko Kuona ni zaidi ya kustaajabu maana ni sawa UPUMBAVU wa kuabudu Wachungaji. Sijui kama naeleweka?
Nikumbushe miaka ile ya...
Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19.
Ni nini maoni...
Waitara ametoka nje ya bunge baada ya kufanyiwa ubabe na wenye mamlaka.
Aliikimbia cdm kwa kupewa vipande vya manemane na kudanganywa na jiwe.
Leo hii ameanza kulialia na kufanyiwa ubabe na rc...
Ushauri kwa Ndugu yetu Ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya.
Ndefu Ila nafupisha kwa Kadri ya uwezo ......Bro.wangu Anasoma nchi moja hapo ulaya!
Huyu Ni brother Alienda Europe 2020..alienda...
'TEGESHA' YA NYUMBA ZA MWITA WAITARA NA NDUGU ZAKE KIKWAZO FIDIA WANANCHI MGODI NORTH MARA
Unaambiwa walivyojua kuna fidia wakajenga nyumba haraka, Mwita akachukua mikopo bank akakimbilia...
WIZARA YA MAJI YAOMBA BAJETI YA BILIONI 756
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akisoma hoja ya bajeti Bungeni amesema Wizara ya Maji imeliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi...
Jambo Jambo?
Kwa habari za chinichini zilizonifikia kutoka chanzo muhimu ninacho kiamini ni hizi hapa.
——————————————————————-
Unaambiwa ATCL Yafikiria kuondoa ndege zake ndogo kama bombadier na...
"If you put bananas and money in front of monkeys, monkeys will choose bananas because monkeys do not know that money can buy a lot of bananas. In reality, if you offer a job and business to...
Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania...
Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika...
Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na...
Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM...
Leo tarehe 10 Mei, 2023 Nitachangia Bajeti ya Wizara ya Maji nakuomba idhini ya Fedha kwa Miradi ya Jimbo la Igunga kwa Mchanganuo ufuatao;
1. Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda...
Mbunge wa Mwita waitara ameangua kilio bungeni na kutoka nje huku akisema majibu ya waziri hayakuwa na maana yoyote, hayakidhi mahitaji.
My take :Tabia ni kama ngozi huyu aliozea akiwa barvicha...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu anesema Ubunge wa kupewa kwa makubaliano fulani siyo Ubunge wa Wananchi.
Mbunge wa Wananchi ni yule aliyeshindana na kushinda kwa kura halali...
"Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini.
Chanzo: Jambo TV
===...
Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa.
Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana...
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!
Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!
Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha...
WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1...