Mara kadhaa Viongozi Wetu wamekuwa wakituomba tuwaombee na tuliombee Taifa, Binafsi sikutilia sana maanani Swala hili.
Lakini jana kupitia al jazeera/ BBC nimemuona Rais Ruto akifanya toba kwenye...
Huyu jamaa anaenda kuua kilimo kama hatodhibitiwa, hana future hata chembe na wakulima, huko jimbon kwake tu mpaka sasa wakulima wake tunalia! Mbolea uchwara kila siku na hazifiki Kwa wakati ama...
Ndio unakuta walikuwepo akina Shehe Yahya, Askofu Kulola, Kardinali Rugambwa, Askofu Sepetu nk
Viongozi hawa walikuwa na jukumu la kuwafanya Viongozi wa kisiasa kutokuwa mfano wa kutenda dhambi...
Ndugu walitaka apelekwe China, Mkapa akagoma
Profesa Mwakyusa alimtelekeza, Gachuma akajitosa
Mazingira ya kutia mashaka yaelezwa, hali inatisha
Na Waandishi Wetu, Musoma
Baada ya Mbunge wa...
Uendeshaji wa kesi ya kunajisi Bunge Tukufu la wananchi ya kuingia wabunge 19 ulipaswa kuwa katika rada zako na kuhakikisha hauwezi kuendeshwa kama kesi ya talaka.
Kama Jaji Mkuu unafahamu uzito...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa ambaye pia ni Rais wa Jimbo hilo leo ameanza Rasmi...
Hizo ndio taarifa zinazoenea kwamba Ofisi ndogo ya Bunge imegoma kufungua mlango kupokea Barua ya Spika Tulia Kutoka Bawacha.
Kufuatia hali hiyo Katibu mkuu wa Bawacha CPA Ruge aliibandika Barua...
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)
Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote
Source: Ayo tv
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule...
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu...
Hii ndio Taarifa waliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Ikumbukwe kwamba hata uchunguzi wa jambo hili haujakamilika lakini wao tayari wamehitimisha.
Aibu kubwa sana!
Pia, soma: Polisi yatoa...
Mambo aliyoyafanya Membe pale Act wazarendo Kila mtu anajua alivyotulaghai watanzania ingawa alipata kula nyingi kutoka kwa majasusi wenzake.
Sasa Ili la kumdai cyripian musiba nalo likepotea...
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa.
Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa...
Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya.
Akifafanua kuhusu kukithiri kwa...
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni...
Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza...
Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo...
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi.
Akiwa na mwenyeji wake...
MAHINDI YALIYOZUIRIWA ZAMBIA, SERIKALI INAFUATILIA KWA UKARIBU, RC MICHAEL.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael amesema Serikali kupitia Balozi wa Tanzania nchini Zambia inaendelea...
Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo...
Hatukatai watu kuuza...