Korea Kusini: Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete atembelea Ubalozi wa Tanzania

May 12, 2007
6
7
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi.

Akiwa na mwenyeji wake Balozi Togolani Mavura, amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

PHOTO-2023-05-11-22-06-01.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-06-06.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-07-01.jpg
PHOTO-2023-05-11-22-07-08.jpg
 
Back
Top Bottom