Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, amesema kile alichokiita "mbinu za makusudi" za upande wa mashtaka...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameeleza kuwa rekodi za mahakama tangu Kisutu zinaonesha wazi kuwa...
"Tazama, mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba...
Hivi lile jiroboti lenye ufanisi na la gharama kubwa lililopelekwa bongeni kwa maonyesho/maigizo lilipelekwa wapi kuwatumikia watanzania? Au tunasubiri episode/event ingine wana tuendelee kujionea...
Ignore this misinformation.
The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has not made these remarks. This statement is fabricated with the intention of...
Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la...
ππΌππ ππΌπππΌ πΌπΌπππΌ ππ ππππ ππππ½ππΌ πππππππΌππ ππππππ½πππ.
SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI
Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili...
Familia ikiwa za afya ni ulinzi tosha hii inaongeza kujiamini.
Kuna watu wanauza metch na hawana bima za afya please tafuta bima ya afya au tumia condom.
Kuna familia hazina kipato chakutosha na...
Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi.
Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi...
Tume iliundwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika masuala ya sheria, haki, usalama na utawala bora. Uteuzi wao ulizingatia uadilifu, uelewaji wa kina wa mambo ya kisiasa na kijamii, na...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya...
"Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo...
Salaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa...
πKatambi-Serikali yaokoa Bilioni 21 Magereza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema jumla ya Shilingi Bilioni 21 zimeokolewa ikiwa ni faida za Bodi ya Parole na Programu ya...
PROF. KABUDI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BOTSWANA JIJINI LONDON
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru...
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa...