Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uendeshaji wa kesi ya kunajisi Bunge Tukufu la wananchi ya kuingia wabunge 19 ulipaswa kuwa katika rada zako na kuhakikisha hauwezi kuendeshwa kama kesi ya talaka. Kama Jaji Mkuu unafahamu uzito...
2 Reactions
9 Replies
709 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa ambaye pia ni Rais wa Jimbo hilo leo ameanza Rasmi...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Hizo ndio taarifa zinazoenea kwamba Ofisi ndogo ya Bunge imegoma kufungua mlango kupokea Barua ya Spika Tulia Kutoka Bawacha. Kufuatia hali hiyo Katibu mkuu wa Bawacha CPA Ruge aliibandika Barua...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia amesema atagombea nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Hii ni Nafasi ya Juu kabisa katika mihimili ya Mabunge Duniani kote Source: Ayo tv
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile. Samia hataki kabisa kuona yeyote yule...
27 Reactions
77 Replies
6K Views
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu...
2 Reactions
12 Replies
694 Views
Hii ndio Taarifa waliyoisambaza kwa vyombo vya habari. Ikumbukwe kwamba hata uchunguzi wa jambo hili haujakamilika lakini wao tayari wamehitimisha. Aibu kubwa sana! Pia, soma: Polisi yatoa...
17 Reactions
163 Replies
13K Views
Mambo aliyoyafanya Membe pale Act wazarendo Kila mtu anajua alivyotulaghai watanzania ingawa alipata kula nyingi kutoka kwa majasusi wenzake. Sasa Ili la kumdai cyripian musiba nalo likepotea...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa. Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa...
0 Reactions
6 Replies
675 Views
Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya. Akifafanua kuhusu kukithiri kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa. Lakini si kishujaa! Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao. Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni...
11 Reactions
130 Replies
7K Views
Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo...
1 Reactions
13 Replies
911 Views
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Seoul, Korea Kusini na kuzungumza na wafanyakazi. Akiwa na mwenyeji wake...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
MAHINDI YALIYOZUIRIWA ZAMBIA, SERIKALI INAFUATILIA KWA UKARIBU, RC MICHAEL. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael amesema Serikali kupitia Balozi wa Tanzania nchini Zambia inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Nimeona baadhi ya maeneo mahindi yameanza kuvunwa hasa mkoa wa Rukwa na nimeona malori kutoka Kenya na wanunuzi karibia wote wanapeleka shehena ya mahindi Zambia na Congo... Hatukatai watu kuuza...
19 Reactions
274 Replies
15K Views
Habari ndugu! Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa. Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara...
19 Reactions
209 Replies
13K Views
Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kabla ya Magufuli kuwa Rais Sgr zilizokuwa zimepangwa kujengwa ni ya Dar Hadi Kigoma Kisha Burundi na Tanga-Arusha Hadi Musoma via Moshi. Ila kutokana na tabia yake ya visasi, kutojali na...
20 Reactions
246 Replies
13K Views
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi...
8 Reactions
123 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…