Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?
Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.
Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki...
Wakuu,
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wetu shujaa John Pombe Magufuli. Hayati JPM ndiye Rais pekee hapa Tanzania aliyetawala kwa kipindi kifupi ( 5 years) lakini alifanya mambo mazito...
Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini,
Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni.
Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa...
Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia...
Kwanza ungana nami kuamini yakuwa Membe mpaka anakufa hakuwai kujitaja hadharani yakuwa yeye ni mtumishi wa idara ya Usalama wa Taifa, wapo walio mtaja alikaa kimya, idara yenyewe ilikaa kimnya...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China, Kenya, Denmark, Italia na Sudan kwa nyakati...
Nimeona mambo ambayo yameeainishwa kwenye mtaala mpya, lakini sijaona somo la kilimo ambalo lina ajiri 80% ya watanzania.
Somo hili la kilimo ambalo lina beba kilimo kwa maana ya mashamba...
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji.
Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga!
Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku...
Mbunge wa Masasi aliyewahi kuwa Waziri wa Biashara na Uwekezaji mh Mwambe amesema mifumo ya sasa ya TRA siyo rafiki, imejaa Uonezi na ni Sumbufu.
Mwambe amesema hii inatokana na kila mmoja pale...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama...
Nashauri tusiishie kuomboleza kifo Cha Magufuli na Membe ila tusogeze fikra zetu na kujitafakari sisi kama Tanzania na watanzania wake Kwa ujumla.
Kuna Nini kati ya Tanzania na Muumba wetu wa...
Sioni tena namna mtu yeyote atakejiliwa katika masuala ya afya kama alivyokejeliwa Edward Lowassa kuanzia 2014-2015 katika harakati za kusaka madaraka makubwa ya nchi.
Sioni tena mwanasiasa...
Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana
Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta...
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.
Kuna dalili zote...
Nimemtazama Lowassa akiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini 30 kila mkoa, nimemuhurumia sana. Nikajiuliza, let's say chama chake kimpitishe kugombea jambo ambalo sio rahisi sana. Je, ataiweza...
Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia.
Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na...