Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 16 leo Mei 3, 2023. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Khamis Hamza Chilo amesema hadi sasa, Serikali...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona baadhi ya Chadema Wanaotaka Katiba Mpya wanapendekeza Muungano wa Serikal Moja Ndio najiuliza Muasisi wa Muungano aliposema Serikal Moja Tanganyika itavimeza Visiwa vya Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Kuna aina kadhaa ya serikali za kiimla, ambazo hutawala kwa nguvu na udhibiti mkubwa wa kisiasa na kijamii. Hapa ntaelezea aina kadhaa za serikali za kiimla kwa lugha ya ufupi: Serikali ya...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo Mei 3, 2023 ni siku ya tatu ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani linalofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar, mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua...
34 Reactions
99 Replies
9K Views
Huwezi amini magazeti yote ya siku ya jana na hata ya leo hakuna gazeti hata moja lililoifanya habari ya Mkurugenzi wa JamiiForums kutiwa ndani na habari ya jana ya ofisi za mtandao huu kufanyiwa...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Takribani miezi miwili sasa imepita tangu wadau walipotakiwa kuusoma na kutoa maoni ili kuuboresha muswada wa huduma za habari.... Muswada huu umekuwa ukipiganiwa kwa muda mrefu takribani zaidi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ili kulisaidia Taifa hili,nawashauri msiwe watu wa kutoa kipaumbele katika kuchapisha/kutangaza habari za kuripoti tu fulani alisema nini bali mjiongeza kwa kuzingatia hali halisi ya nchi yetu...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu Profesa Mkenda amesema wanafunzi watakaosoma Kozi za Lugha ya Kiswahili ndio watakaopewa kipaumbele kwenye Mikopo ya Elimu ya Juu. Lengo ni kupata Wakalimani wengi watakaotafsiri...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma. Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna...
0 Reactions
4 Replies
469 Views
Watanzania tunapashwa kuwa na hofu na kujiuliza kule tunapoelekea. Cha kuhofia hapa sio kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari. Tujiulize ni nini kitatokea baada ya hapo. Anataka kutufanya...
21 Reactions
89 Replies
10K Views
Nimekuwa nikifuatilia waandishi wa habari wa nchi hii, nikagundua kuwa zile habari muhimu sana, zenye maslahi mapana kwa Taifa hili hawaziandiki na badala yake, wao Kila siku ni kuandika...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Kitu nilicho jifunza ktk mkutano wa Mhe Rais JPM wahariri wa vyombo vya habari. Takribani masaa 2:45 hivi 1. hakuna mwandishi aliuliza kuhusu *Kilimo, Ufugaji wala Uvuvi* Kwa tathmini yangu...
29 Reactions
92 Replies
12K Views
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Baragumu ambacho kiko live on Channel Ten, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Dr. Hassan Abbas, afafanua mambo mbalimbali ya Habari Tanzania, amesema Tanzania...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwa nchi yoyote yenye utawala Bora, inavitumia vyombo vya habari kama mhimili wao wa 4, usio rasmi, baada ya mihimili rasmi ya Serikali, Mahakama na Bunge, katika kuendesha nchi. Huwa...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa hakika ni kwamba serikali inapigana kwa namna yeyote ile kuhakikisha kuwa huu mswaada wa huduma za vyombo vya habari unaopigiwa kelele kila Kona ya nchi unapitishwa bungeni. Kuna tetesi kua...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanabodi, Leo ndio Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari, ambapo kwa hapa Tanzania, siku hii imeadhimishwa kwa siku mbili, jana na leo, katika hoteli ya Nashera mjini Morogoro. Mwenyekiti wa...
5 Reactions
87 Replies
13K Views
Wanabodi, Leo ni siku ya Madhimisho wa Uhuru wa Habari, maadhimisho ya Mwaka Huu yanafanyika kitaifa mjini Mwanza, Jamii Forum's Maxence Melo, Waziri Nape Mnauye, Mzee Reginald Mengi, Baraza la...
12 Reactions
119 Replies
17K Views
HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Maandalizi ya Mkutano ngazi ya Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne (AUSC) utakaofanyika Mei 04, 2023 jijini Arusha yamekamilika na umetanguliwa na mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…