Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini.
Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana...
Pasi na uthubutu wa Hayati Magufuli leo hii miradi ile isingekuwa ikitekelezwa kwa namna mashoga zao na wazungu walivyokuwa wakiibeza kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.
Ajabu leo kila...
Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk..
Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na...
MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024...
Nimetafakari sana na kuiangalia kwa makini Mifumo ya Siasa za Tanganyika hasa CCM, Chadema na ACT Wazalendo Vijana hawajui Walitendalo, Wanaburuzwa tu
Watu wenyewe ndio hawa hawa yule wa CCM...
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.
Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili.
Pia Dr. Mpango amewataka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo...
Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .
Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti...
Zipo dalili za wazi kabisa baadhi ya Mawaziri wa Wizara nyeti kwenye awamu hii wanapigana vikumbo na zaidi kuwatumia wana mitandao ya kijamii wenye ushawishi kuchafuana.
Utasikia mara yule kawa...
Spika mstaafu wa Bunge, Mzee. Pius Msekwa, amesema maridhiano ya kisiasa vya yaliyofanywa na serikali dhidi ya vyama upinzani, yamedumisha utulivu na kuondoa migogoro ya kisiasa huku akisisitiza...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo tarehe 31 Januari, 2023 kwenye Mkutano wa Kumi, kikao cha kwanza.
HOJA YA SEHEMU ZA KUSUBIRI KUWAONA WAGONJWA
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Nassor Kisangi...
Yaani mkaguzi alikagua na kukupatia ripoti ya ukaguzi iliyoshiba Kila aina ubadhilifu, na mkaguzi aliyasemayote mbele yako nasi wanaanchi tukifatilia mubashara.
Leo tunasikia yakuwa unachunguza...
Miradi ya World Bank hapa nchini ni mingi, lakini ina walakini.
Miradi hii inawekewa masharti ambayo serikali huwa inayakubali bila kupitia vipengele vya utekelezaji miradi yenyewe.
Hi ina maana...
Katika taifa masikini kama la kwetu, ni dhahiri kwamba lazima mikakati kabambe na juhudi maridhawa vifanywe ili kutuwezezesha kupiga kasi ya kutosha katika kuondokana na matatizo lukuki tuliyokuwa...
Nafahamu kuwa kutoa taarifa ipo kwenye kanuni za Bunge letu lakini katika Bunge hili la 11 linalo endelea naona kamtindo ka kutoa taarifa wakati mzungumzaji akichangia hoja kameshamiri kiasi...
Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta
Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na...
Hii ndio Taarifa ya sasa kwenda kwa jamii yote Duniani, kwamba hivi ninavyoandika hapa Bendera ya CHADEMA imepandishwa na kusimikwa rasmi kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, yaani hivi sasa...