Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutoka mahaka kuu kanda ya Dar esSalaam kesi ya maombi madogo namba 8960 ya Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema imepelekwa mbele mpaka Mei 20, mwaka huu. Kesi hiyo iliitwa...
7 Reactions
34 Replies
757 Views
Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais. Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa...
2 Reactions
12 Replies
337 Views
Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri...
2 Reactions
4 Replies
174 Views
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways)...
1 Reactions
16 Replies
315 Views
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti. Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku...
37 Reactions
209 Replies
4K Views
Ni vizuri akakemewa kwa ukali ili aache upotoshaji dhidi ya wazee wetu ambao ni hazina na fahari ya Taifa letu. Tume ya Jaji Chande imeeleza wazi kabisa kwa baadhi ya AZAKI na vyama vya siasa...
1 Reactions
26 Replies
377 Views
Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism...
1 Reactions
12 Replies
177 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), Dkt. Jean Kaseya...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Angola wamezeza kujenga oil refinery. Kwa namna hayati aliweza kudhibiti pesa za ndani zikafanya maendeleo makubwa kama kujenga bwa kama JNHEPP asingeshindwa kujenga oil refinery. Sasa hivi kuna...
16 Reactions
120 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Serikali inaendelea kufuatilia kwa ukaribu na kuhakikisha barabara ya Kitunda inafanyiwa matengenezo kwa haraka Pia soma: KERO - Barabara...
1 Reactions
10 Replies
175 Views
Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania. Aliyeonja nyama ya Mtu haachi. Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia...
2 Reactions
14 Replies
251 Views
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?. Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa...
5 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwanasiasa Jacob Samwel Malate wa Ilala Dar es Salaam amemshutumu Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa kusababisha taharuki na kuchochea mzozo katika jamii kufuatia kauli alizotoa...
0 Reactions
9 Replies
199 Views
Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida...
1 Reactions
43 Replies
675 Views
Watanzania tudumishe umoja wetu, udugu wetu, mshikamano wetu, katika kutatua changamoto zetu, hii ndiyo misingi tuliyoachiwa na wazee wetu pamoja na waasisi wa mataifa yetu. Uzalendo ni kujitoa...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Huu ndio Ukweli wa Wazi kabisa ambao kila mwenye akili timamu anapaswa kuukubali. Aliyetambulishwa kama Mwakilishi wa Chadema kwenye Mkutano huo unaoongozwa na Tapeli Mamluki John Mrema si...
15 Reactions
47 Replies
3K Views
Wanabodi Leo ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa HabarI, hii ni makala yangu ya pongezi kwa Waziri wetu wa habari,Mhe Paul Makonda kwa kuusema ukweli mchungu kuhusu tasnia ya habari ya...
4 Reactions
9 Replies
279 Views
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na...
1 Reactions
9 Replies
196 Views
Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni...
14 Reactions
44 Replies
924 Views
  • Redirect
Hizo ni sauti za wanawake wakisema hawataki fidia wanataka watoto wao waliouawa kwenye Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na baaada ya Uchaguzi, kifupi mgeni hataki soda anataka 700 yake
1 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…