Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM kwa sasa hivi inazungumzia miaka 2 ya utawala wa Awamu ya Sita ya Rais SSH. Je, sifa zinazomwagwa zinaakisi Ilani ya CCM 2020-2025. Nitanukuu machache yahusuyo uchumi ili kuonesha tofauti ya...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Feleshi, anasema kuwa katika Mkataba wa awali kati ya Tanzania na Dubai "hakuna kipengele kinachosema kuwa Dubai imeuziwa Bandari za Tanzania." Kisheria, kauli...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Na cha kufurahisha yule aliyekuwa akiisemea Ikulu sasa ndio anaisemea Serikali nzima. Kiukweli kwa sasa watu wanaamini zaidi yanayosemwa na Dr. Slaa au yule Tundu Antipas Lissu kuhusu DP World...
3 Reactions
2 Replies
675 Views
Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika. CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii imekaaje wadau?
9 Reactions
141 Replies
55K Views
Nafikiri huu mkataba ulichokosa ni Schedule of amendment au kikomo cha mkataba, mengine yanaongeleka
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu Chadema Wana mzaha sana ,eti haka kajengo kama nyumba ya kuishi ndio Ofisi ya Chama Makao Makuu waliyoisubiria Kwa miaka 30.. Mil.500 eti ya Kiwanja na Ukarabati wa 1.5bln? Huu ni Ufisadi...
6 Reactions
108 Replies
10K Views
Wakati wa awamu ya kwanza ulipotokea mijadala wowote wa Kisiasa uliohusisha ofisi ya juu kabisa basi jumba bovu aliachiwa Mzee Mfaume. Na yeye kwa unyenyekevu aliubeba ule mzigo kama Mnyamwezi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli anatarajiwa kuzindua rasmi hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato siku ya Jumanne Julai 09 mwaka huu, hifadhi ambayo imepandishwa hadhi...
2 Reactions
111 Replies
13K Views
Mkataba wa bandari na DP World unaoendelea kujadiliwa na umma tena kwa kupiga kelele usitishwe. Ni vizuri sasa serikali ikubali kwamba iliteleza ifute mkataba huo, kitendo cha msemaji wa serikali...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana tarehe 29/06/2023 Rais Samia amemteua Balozi Omary Ramadhani Mapuri kuwa Mjumbe wa NEC wakati kiongozi huyo alishawahi kushika nafasi ya Katibu Uenezi ndani ya CCM. Nimepita mtandaoni nikaona...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais wa nchi anahitajika mtu makini na mwenye uwezo wa kuongoza kwa umahiri na uhodari,maana kuongoza nchi siyo sawa na kuongoza club ya mpira,siyo sawa na kuongoza...
3 Reactions
90 Replies
3K Views
Nimeona ona humu JF baadhi ya watu wanadai kuwa eti kipindi cha Rais Magufuli watu ambao hivi sasa wanamkosoa Rais Samia, hawakuthubutu kumpinga hadharani kama ambavyo wanampinga huyu mama yao...
22 Reactions
54 Replies
4K Views
Na Msafiri Egno Haule, Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa na historia nzuri ya kuchombeza mijadala yenye kuvutua alaiki ya watanzania wengi. Hii inakuja baada ya wachagizaji wa mada hizo wengi...
1 Reactions
1 Replies
935 Views
Heshima kubwa sana kwenye wana JF, najua nitashambuliwa na baadhi yenu humu. Ila ukweli utabaki kuwa kweli, na uongo utajitenge na ukweli. Nimetafakari sana juu ya hali ya kisiasa inavyoenda kwa...
14 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukiona Chama au selikali, huwa inatumia nguvu kubwa kupendwa basi jua kwamba imejaa madhaifu makubwa Na ndiyo stairi inayotumi chama cha CCM na selikali yake, wamechoka hawana mbinu mbadala tena...
2 Reactions
2 Replies
465 Views
Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi sio mwanasheria lkn ninatumia akili ya kawaida kuhoji na kutafakari mambo, tunaposema bandari zimeuzwa tuna maanisha kweli, nimeusoma mkataba huu kwa umakini mkubwa. Pamoja na mambo mengine...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika. DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani. Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…