Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya Mnyika amesema Serikali imeamua...
14 Reactions
75 Replies
5K Views
Naomba tu kuelimishwa namna Mgombea uRais wa Zanzibar anavyopatikana hapo Chadema Itatusaidia na itamsaidia yule balozi Karume kule Mifenesini Ahsante! Pia soma > Lissu: 2020 Chadema tulifanya...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe anesema ukiondoa Wafanyabiashara wachache, Watanzania walio wengi hawajui thamani ya kodi zao. Wengi hawajui hata kama wanalipa kodi ndio sababu fedha...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme. Kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama tulisharuhusu Wanasiasa katika level fulani wawe na Kinga ya kutoshtakiwa leo tunalalamika nini? Tuache double standard Wanasiasa kwa sababu kinachawakinga Nyie ndio kinawakinga na Wale pia...
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Mnakumbuka siku Rais alikutana na Mawaziri Wakuu wastaafu? Walisimama kuongea machache, Lakini kilichonishtua kwenye mkutano ule ni kauli ya Sumaye ya kusema nimehamia Chadema kwa faida ya CCM...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu! Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani...
3 Reactions
14 Replies
988 Views
Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila...
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 37 leo Mei 31, 2023. Kuanzishwa kwa Benki ya Vijana ya wajasiriamali Serikali imesema ipo kwenye hatua ya kuandaa mkakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema endapo Wapinzani hawataamka kutoka usingizini na kuungana basi CCM itaendelea kutawala kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Mzee Duni amesema...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Hebu angalia watu kama akina mpina wanadhulumi ardhi waziwazi halafu waandishi wanazuiwa kuhoji chochote na ukihiji unapotezwa. Leo wananchi wameandamana kwamba walidhulumiwa enzi ja jpm. Makonda...
14 Reactions
61 Replies
4K Views
Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye Oparesheni ya chama chake inayoitwa 255 ambayo sasa iko Mkoa wa Katavi Tundu Lissu, amedai kwamba amepewa Taarifa ya kupelekwa Muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa...
24 Reactions
118 Replies
9K Views
Wakuu kwa miaka ya hivi karibuni Nchi ya Zambia Imekuwa Inaleta Sana chokochoko na usumbufu kwenye issue ya kufanya biashara na Tanzania. Mara Wazuie Malori yetu,Mara waseme yamebeba...
5 Reactions
144 Replies
15K Views
Chama Tawala Nchini Turkiye Cha AK Kimeshinda wingi wa Ubunge na kupata Nguvu ya uamzi huku Wapinzani wao wa CHP wakiambulia viti vichache. Awali kwenye uchaguzi Mkuu Rais Erdogan aliongoza Kwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Vi Wapi vyama vya kitaaluma? Kuna sheria mbovu na ya ajabu inazunguka kwenye mitandao yetu hapa Tanzania Yaani HII ya mabadiliko ya sheria ya Usalama wa Taifa mi wapi wanasheria? Yaani mswada...
1 Reactions
6 Replies
977 Views
Hata kihistoria tu Wazanzibari wamefanya mambo mengi makubwa katika nchi yao kuliko Watanganyika Akili ya Wana wa Israel ni kuulinda Utaifa Wao popote pale Duniani na Ndivyo ilivyo kwa...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…